ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Ndio ,hamkuona mlivyompasua yule dada wa Njombe? Mlikuwa sahihi?Kwahiyo wapo sahihi hao wanaCCM?!

CCM imefika ukingoni.Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.
Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.
“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kama taifa tutatokaje huku?
Nini kifanyike kuliunganisha taifa?
Nini kifanyike kurudisha umoja wa Watanzania? Kati ya CCM na CHADEMA kuna asiye mpinzani wa mwenzie?
Wasanii angalieni nyimbo zenu.
Hapo ukute kapewa tisheti na kofia aimbe hovyo.
Nyimbo hizi zinaimbwa kwenye uongozi wa Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi wa 2025.
CCM miili yao chuma wala hawafi.
View attachment 3313486
Kampeni hiyo naona imeanza kweli kweli,hapa sijui iwapo ilikuwa tu taarifa ya awaki au laa?Ni muhimu kila kumbukumbu kutunzwa iwe nzuri au mmbaya.Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.
Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.
“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kama taifa tutatokaje huku?
Nini kifanyike kuliunganisha taifa?
Nini kifanyike kurudisha umoja wa Watanzania? Kati ya CCM na CHADEMA kuna asiye mpinzani wa mwenzie?
Wasanii angalieni nyimbo zenu.
Hapo ukute kapewa tisheti na kofia aimbe hovyo.
Nyimbo hizi zinaimbwa kwenye uongozi wa Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi wa 2025.
CCM miili yao chuma wala hawafi.
View attachment 3313486
Hawa kamwe huwezi sikia wakishtakiwa Wala kuhojiwa na yoyote yule.Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.
Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.
“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kama taifa tutatokaje huku?
Nini kifanyike kuliunganisha taifa?
Nini kifanyike kurudisha umoja wa Watanzania? Kati ya CCM na CHADEMA kuna asiye mpinzani wa mwenzie?
Wasanii angalieni nyimbo zenu.
Hapo ukute kapewa tisheti na kofia aimbe hovyo.
Nyimbo hizi zinaimbwa kwenye uongozi wa Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi wa 2025.
CCM miili yao chuma wala hawafi.
View attachment 3313486
Msikilize katibu waoHawa mpaka muda huu walipaswa wawe wako lockup
Kauli ya nchimbiTanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.
Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.
“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kama taifa tutatokaje huku?
Nini kifanyike kuliunganisha taifa?
Nini kifanyike kurudisha umoja wa Watanzania? Kati ya CCM na CHADEMA kuna asiye mpinzani wa mwenzie?
Wasanii angalieni nyimbo zenu.
Hapo ukute kapewa tisheti na kofia aimbe hovyo.
Nyimbo hizi zinaimbwa kwenye uongozi wa Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi wa 2025.
CCM miili yao chuma wala hawafi.
SOma Pre GE2025 - Balozi Nchimbi apiga marufuku wimbo unaochochea chuki dhidi ya wapinzani
View attachment 3313486
Tena inafaa waanze na Lisu na lile limtumbo lake😁😁Sasa kama mamba wana njaa wakale wapi?
Hawa ni Mmbwaah kikinuka na hayo Matumbo yao na wachache wanao wategemea WATAHIMILI ?Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
------------------------------
View attachment 3313195
------------------------------
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Kila mbegu ipandwayo lazima iote. Tukutane siku ya mavuno
This is very badVideo: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
------------------------------
View attachment 3313195
------------------------------
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Hao vijana wenyewe ukute hawana ajiraTanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.
Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.
“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kama taifa tutatokaje huku?
Nini kifanyike kuliunganisha taifa?
Nini kifanyike kurudisha umoja wa Watanzania? Kati ya CCM na CHADEMA kuna asiye mpinzani wa mwenzie?
Wasanii angalieni nyimbo zenu.
Hapo ukute kapewa tisheti na kofia aimbe hovyo.
Nyimbo hizi zinaimbwa kwenye uongozi wa Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi wa 2025.
CCM miili yao chuma wala hawafi.
View attachment 3313486
UPDATE:
Nchimbi akemea - Balozi Nchimbi apiga marufuku wimbo unaochochea chuki dhidi ya wapinzani
Kinachosikitisha ni kuwa wote wanaonekana angalau wamesoma mpaka sekondari na Wana umri wa mtu mzima, yet hawawezi ona madhara ya nyimbo kama hizi...Huyo Babu naye aliyevaa khaki sijui anajisikiaje badala ya kutumia busara ya utuuzima na yeye anacheza bila Soni!Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.
Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.
“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kama taifa tutatokaje huku?
Nini kifanyike kuliunganisha taifa?
Nini kifanyike kurudisha umoja wa Watanzania? Kati ya CCM na CHADEMA kuna asiye mpinzani wa mwenzie?
Wasanii angalieni nyimbo zenu.
Hapo ukute kapewa tisheti na kofia aimbe hovyo.
Nyimbo hizi zinaimbwa kwenye uongozi wa Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi wa 2025.
CCM miili yao chuma wala hawafi.
View attachment 3313486
UPDATE:
Nchimbi akemea - Balozi Nchimbi apiga marufuku wimbo unaochochea chuki dhidi ya wapinzani
Sheria zetu za kibaguzi.Hawa kamwe huwezi sikia wakishtakiwa Wala kuhojiwa na yoyote yule.
Bado Kuna mtu anaamini huwa kuna uchaguzi!