PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ushauri wako sio sahihi.
Ukumbuke sisi ni ndugu, unaweza kuwa na ndugu ambaye ni mwanachama wa chama tofauti na wewe.
Je, tuuane kwa ajili ya vyama vya siasa?.
HAPANA.
Kama wao wanaamini wapiinzani ni wakuliwa na mamba hao wana utu? Na wanaimba kwa kufaraha kabisa utadhan hao wapinzani sio watanzania wenzao
 
N
Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.

Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.

“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kama taifa tutatokaje huku?

Nini kifanyike kuliunganisha taifa?

Nini kifanyike kurudisha umoja wa Watanzania? Kati ya CCM na CHADEMA kuna asiye mpinzani wa mwenzie?

Wasanii angalieni nyimbo zenu.

Hapo ukute kapewa tisheti na kofia aimbe hovyo.

Nyimbo hizi zinaimbwa kwenye uongozi wa Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi wa 2025.

CCM miili yao chuma wala hawafi.
View attachment 3313486
Chadema na wapinzani niliwaonya sana .... pia nilisema hapa kuwa kiongozi muislamu ni UCHAFU MKUBWA SANA WAISLAMU WASIPEWE UONGOZI TENA TZ TUFANYE KAMA RAWANDA NA WAHUTU.....HAPA UTAWASIKIA WAPUMBAVU WA MASJID WANA MTETEA SAMIA WAKISEMA KUWA TUNA MSEMA SAMIA KWA SABABU NI MUISLAMU ...
 
1964 Nyerere alisema vyama vingi vitatugawa. Akavifuta.

Akaanza kugombana na kina Kambona. Unafutaje demokrasia ya vyama iliyotuweka bungeni kwenye kura tatu ? Tena bunge la Mkoloni.

1992 Nyerere akasema hatuna budi kurudi kwenye vyama vingi. Akaviruhusu.

Lakini Mwalimu hakueleza zile hatari za vyama vingi vya 1964 zimeenda wapi. Unazi address vipi ? Unajengaje mfumo imara na wa haki wa vyama vingi ? Hakusema.

Akaacha CCM imeshika dola kwenye mazingira yasiyo na usawa. Halafu akavilaani vyama, akasema viongozi wazuri watatoka CCM. Hakuna aliyemhoji why so ? Ume advocate vyama vingi vya nini kama.bado unavi castigate na kuvibeza ???

CCM wakabaki wameamini kwamba wao wana hati miliki ya uongozi siku zote. Sasa tumepasuka.

We are one mass shooting away from war of attrition.
 
Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.

Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.😭😭😭
Ni htr
 
Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.

Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.😭😭😭
Watakemeaje wakati ndiyo mikakati yao??
 
Matumizi mabaya ya chenja letu kali la kizalendo

Iddi Amini Akifa mimi siwez kulia nitamtupa kagera awe chakula cha mamba
 
Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.

Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.

“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kama taifa tutatokaje huku?

Nini kifanyike kuliunganisha taifa?

Nini kifanyike kurudisha umoja wa Watanzania? Kati ya CCM na CHADEMA kuna asiye mpinzani wa mwenzie?

Wasanii angalieni nyimbo zenu.

Hapo ukute kapewa tisheti na kofia aimbe hovyo.

Nyimbo hizi zinaimbwa kwenye uongozi wa Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi wa 2025.

CCM miili yao chuma wala hawafi.
View attachment 3313486
Huu uzi utafutwa muda siyo mrefu
 
KUNAWATU WALINIPINDA NILIPO WAAMBIA HII METHARI .. LAANA SAMIA UNEJAA LAANA NA ABDUL MZAWA WA TUMBO LAKO KALAANIWA TOKEA SASA VIZAZI VYOTE WATAKUITA MLAANIWA ....niliwaambia damu nyingi itamwagika kama huyo mlaaniwa atagombea 2025 watu msio na akili mnao jidhani mna akili mkanipinga .....pia nimeonya kama mnataka kuiokoa tz Basi akikisheni nafasi zote za uongozi serikalini kusiwe na muislamu...nilikuonyeni kuwa waislamu awana akili pia siyo wazalendo pia ni maadui wa uzalendo na wazalendo...Kwanye ili tusione aya kuitwa wadini ni bora kuitwa mdini na kunusuru taifa ....hizo video na nyimbo zimetungwa na mamraka na kuimbwa na watu wazima kabisa wenye akili timamu unajua nini maana yake?
 
Chadema hajakuwa mpinzani wa ccm..mpinzani kweli alikuwa cuf watu kutozikana visima kutiwa kinyesi...
Hao CUF walikuwa na nguvu Zanzibar Kwa Maalim y tuu huku Tanganyika Porapesa Lipumbu hakupata hata 10% ya kura.
 
hamna jipya hapo,.....CCM ni wale wale tu...
 
Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
------------------------------

View attachment 3313195
------------------------------
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Siasa za 🇹🇿 ni za maslahi,soukiingilia maslahi ya mtu lazima mtoane nyongo
 
For every action, there is an equal and opposite reaction.
 
Back
Top Bottom