PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna aliyewahi kuotesha bangi halafu akavuna maharage. Mungu awahurumie wote wanaoimba huo wimbo maana hawajui wanachokiotesha katika jamii yetu yenye amani.

Kuna wimbo mmoja wa bongofleva zamani kidogo ulikuwa na kibwagizo "akiwazacho mjinga ndicho humtokea" sijui ni nani vile aliimba.
 
Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"

View: https://www.instagram.com/reel/DIyILxst9qo/?igsh=cDZqeXNjbTdzZDEy

My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.

Duh hii imenishtua na kunipa tafakari kubwa.

Watanzania tumefikiia huku?? Sisi ambao tumekuwa kisiwa cha Amani!?

Hii chuki inaashiria nini?

Hata sisi ambao si wanasiasa, machafuko yakitokea tutahusishwa!?

Jamani, hatujifunzi miaka nenda rudi tumekuwa tunapokea wakimbizi toka mataifa jirani! Tumeshuhudia namna wanavyo teseka.

Je, nasi tunataka kuelekea huko?? Hapana siasa zisitufikishe huku! Watanzania ni wamoja.
 
Wengi wameshaliwa na mamba mapema tu, tuwaulize ni wangapi wameshawatupa mtoni wakiwa hai? Enzi za makonda wa dar zinaweza kujibu hili swal
Ambae anaishi kama shahidi ni walimtupa pembeni ya mto wenye mamba lakini baba alimuokoa
 
Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"

View: https://www.instagram.com/reel/DIyILxst9qo/?igsh=cDZqeXNjbTdzZDEy

My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.

Wanacho kiimba ndio uhalisia,ukiweza pata access ya vijana wanao kwenda kwenye makabi ya ccm na wakakupa yanayo endelea humo huta amini kama ni Tanzania tunayo imbiwa kuwa ina amani.
 
Usiwazingatie sana hao mazuzu.
Kwanini tusiwazingatie ?!
FB_IMG_1744310445299.jpg
 
Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
------------------------------

View attachment 3313195
------------------------------
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Nacheka zsana maana nao wanaweza kufa Tena kwa Wingi sana
Kwani Hawajui Makala alichosema au wamesahau?????
 
Duh hii imenishtua na kunipa tafakari kubwa.

Watanzania tumefikiia huku?? Sisi ambao tumekuwa kisiwa cha Amani!?

Hii chuki inaashiria nini?

Hata sisi ambao si wanasiasa, machafuko yakitokea tutahusishwa!?

Jamani, hatujifunzi miaka nenda rudi tumekuwa tunapokea wakimbizi toka mataifa jirani! Tumeshuhudia namna wanavyo teseka.

Je, nasi tunataka kuelekea huko?? Hapana siasa zisitufikishe huku! Watanzania ni wamoja.

..hayo ni maneno na vijembe vya kisiasa.

..Tatizo ni kwamba Ccm wanaruhusiwa kupiga vijembe, huku wapinzani wakikatazwa.

..Kwa mfano, Chadema wangetumia maneno hayohayo katika wimbo wao, mara moja wangekamatwa na Polisi, na Msajili angetishia kuwafutia chama.
 
Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
------------------------------

View attachment 3313195
------------------------------
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Hawa mpaka muda huu walipaswa wawe wako lockup
 
..hayo ni maneno na vijembe vya kisiasa.

..Tatizo ni kwamba Ccm wanaruhusiwa kupiga vijembe, huku wapinzani wakikatazwa.

..Kwa mfano, Chadema wangetumia maneno hayohayo katika wimbo wao, mara moja wangekamatwa na Polisi, na Msajili angetishia kuwafutia chama.
Hapana!

Chuki huenezwa kwa njia hii!

Tusiishi kwa mazoea! Chuki hii itaenea sana mwishobwa siku ni uhasama.

Ogopa chuki za siasa, dini na ukabila! Hii ni sumu mbayaa sana hapa duniani.

Tupinge kwa nguvu zote chuki baina yetu.
 
Hakuna aliyewahi kuotesha bangi halafu akavuna maharage. Mungu awahurumie wote wanaoimba huo wimbo maana hawajui wanachokiotesha katika jamii yetu yenye amani.

Kuna wimbo mmoja wa bongofleva zamani kidogo ulikuwa na kibwagizo "akiwazacho mjinga ndicho humtokea" sijui ni nani vile aliimba.
Afande sele ft O-ten kwenye mistari yao ndio kuna huo mstari
 
Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
------------------------------

View attachment 3313195
------------------------------
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Nchi hii ina majitu mapumbavu mengi mno mkuu! Yanaona yametoa single kali! Pumbavu kabisa! Ndiyo maana hata wapinzani likifa li mwana CCM wanashangilia shuri ya upumbavu kama huu! Naona kuna zee linalosubiri kufa nalo eti linarukaruka hapo!
 
Hapana!

Chuki huenezwa kwa njia hii!

Tusiishi kwa mazoea! Chuki hii itaenea sana mwishobwa siku ni uhasama.

Ogopa chuki za siasa, dini na ukabila! Hii ni sumu mbayaa sana hapa duniani.

Tupinge kwa nguvu zote chuki baina yetu.

..hata wapinzani wamewahi kuimba nyimbo za namna hiyo.

..naamini hivyo ni vijembe vya kisiasa tu.
 
Back
Top Bottom