Mkuu sipati piçha yani?!!Aise hili sijui ingekua ni wanachadema nafanya hivo ingekuwaje
Duh hii imenishtua na kunipa tafakari kubwa.Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
View: https://www.instagram.com/reel/DIyILxst9qo/?igsh=cDZqeXNjbTdzZDEy
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Ambae anaishi kama shahidi ni walimtupa pembeni ya mto wenye mamba lakini baba alimuokoaWengi wameshaliwa na mamba mapema tu, tuwaulize ni wangapi wameshawatupa mtoni wakiwa hai? Enzi za makonda wa dar zinaweza kujibu hili swal
Usiwazingatie sana hao mazuzu.Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
View: https://www.instagram.com/reel/DIyILxst9qo/?igsh=cDZqeXNjbTdzZDEy
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Wanacho kiimba ndio uhalisia,ukiweza pata access ya vijana wanao kwenda kwenye makabi ya ccm na wakakupa yanayo endelea humo huta amini kama ni Tanzania tunayo imbiwa kuwa ina amani.Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
View: https://www.instagram.com/reel/DIyILxst9qo/?igsh=cDZqeXNjbTdzZDEy
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Ndio zao hizo, wameamua kujianika, halafu polisi wako kimya tu mpaka sasa kwa uchochezi wanao ufanyaWamechoka kufanyia gizani
Kwanini tusiwazingatie ?!Usiwazingatie sana hao mazuzu.
Kimyakimya ni kuwapa adhabu kali.Kwanini tusiwazingatie ?!View attachment 3313191
Nacheka zsana maana nao wanaweza kufa Tena kwa Wingi sanaVideo: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
------------------------------
View attachment 3313195
------------------------------
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Duh hii imenishtua na kunipa tafakari kubwa.
Watanzania tumefikiia huku?? Sisi ambao tumekuwa kisiwa cha Amani!?
Hii chuki inaashiria nini?
Hata sisi ambao si wanasiasa, machafuko yakitokea tutahusishwa!?
Jamani, hatujifunzi miaka nenda rudi tumekuwa tunapokea wakimbizi toka mataifa jirani! Tumeshuhudia namna wanavyo teseka.
Je, nasi tunataka kuelekea huko?? Hapana siasa zisitufikishe huku! Watanzania ni wamoja.
Hawa mpaka muda huu walipaswa wawe wako lockupVideo: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
------------------------------
View attachment 3313195
------------------------------
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Hapana!..hayo ni maneno na vijembe vya kisiasa.
..Tatizo ni kwamba Ccm wanaruhusiwa kupiga vijembe, huku wapinzani wakikatazwa.
..Kwa mfano, Chadema wangetumia maneno hayohayo katika wimbo wao, mara moja wangekamatwa na Polisi, na Msajili angetishia kuwafutia chama.
Afande sele ft O-ten kwenye mistari yao ndio kuna huo mstariHakuna aliyewahi kuotesha bangi halafu akavuna maharage. Mungu awahurumie wote wanaoimba huo wimbo maana hawajui wanachokiotesha katika jamii yetu yenye amani.
Kuna wimbo mmoja wa bongofleva zamani kidogo ulikuwa na kibwagizo "akiwazacho mjinga ndicho humtokea" sijui ni nani vile aliimba.
Nchi hii ina majitu mapumbavu mengi mno mkuu! Yanaona yametoa single kali! Pumbavu kabisa! Ndiyo maana hata wapinzani likifa li mwana CCM wanashangilia shuri ya upumbavu kama huu! Naona kuna zee linalosubiri kufa nalo eti linarukaruka hapo!Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
------------------------------
View attachment 3313195
------------------------------
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
Hapana!
Chuki huenezwa kwa njia hii!
Tusiishi kwa mazoea! Chuki hii itaenea sana mwishobwa siku ni uhasama.
Ogopa chuki za siasa, dini na ukabila! Hii ni sumu mbayaa sana hapa duniani.
Tupinge kwa nguvu zote chuki baina yetu.