PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wajinga sana kwa kutengeneza hiyo video sema kundi la raia feki ndiyo linausika ....chadema na wapinzani wa tz akili awana video kama hizi ni almas
Mkuu kazi ya kupigania haki ni ya wote. Wasiachiwe wapinzani au CHADEMA tu. Ni kazi ya wote na hata CCM. Kama unaona ni almasi basi itumie kwa sababu mambo yakiharibika basi yanaharibika kwa wote na siyo kwa CHADEMA tu. Uliona jinsi hawa wahuni wanaojiita polisi walivyokuwa wanawatendea watu waliokuwa wanakwenda mahakamani kusikiliza kesi ya Lissu? Kuwateka, kuwapeleka porini na kuwapiga sana na kuwaacha huko? Nakuhakikishia hili halitaishia kwa CHADEMA tu. Ukurasa mpya umeshafunguliwa na sasa hata raia wengine watafanyiwa hivyo. Kidogo kidogo hii ilianza wakati dr Ulimboka alipofanyiwa hivi na sisi wananchi tukakaa kimya. Juzi juzi kuna mwana CCM katekwa na sasa ni kama week 3 hajulikani aliko.
 
Ubarikiweee
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…