Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
"Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na kutatua changamoto zao, lakini katika hatua nyingine kichama tumejipanga na matumizi ya Tehama ili kukuza mawasiliano au kurahisisha mawasiliano, Chama sasa makao makuu wanaweza kuzungumza kwa kuonana, Katibu Mkuu anaweza kushiriki mkutano wa Kamati ya Siasa kwenye mkoa kwa kuonana"