James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
Kwa kosa hapo ni lipi mkuu!?Hapo Siro kimya, Kaijage kimya na Mutungi kimyaaaaa. Tunaendelea kukusanya ushahidi.
Katiba na sheria hazitambui matumizi ya lugha ya picha(Imagery na symbolism)James Martin,
Mkuu, sorry.. mimi sio muumini wa masuala ya kisiasa.
Lakini nikuulize swali dogo sana, umepata kusoma fasihi kwenye kiswahili!??
Kuna kitu kinaitwa Lugha ya picha. Sasa neno "Mboko" laweza pia kuwa kimetumika kama lugha ya picha.
Inawezekana kabisa Muhusika akawa anamaanisha Mboko kwa maana ya kuwashinda au kuwaadhibu kupitia sanduku la kura.
Au pia yaweza kumaanisha kuwashinda kwa njia ya hoja dhabiti kabisa.
Hivi mvunja amani ni yupi. Alosema atainguza watu road akishundwa
Kwenye muktadhi upi mkuu!?? Maana mfumo wetu wa Elimu unafundisha hizo lugha!!Katiba na sheria hazitambui matumizi ya lugha ya picha(Imagery na symbolism)
James Martin,
Mkuu, sorry.. mimi sio muumini wa masuala ya kisiasa.
Lakini nikuulize swali dogo sana, umepata kusoma fasihi kwenye kiswahili!??
Kuna kitu kinaitwa Lugha ya picha. Sasa neno "Mboko" laweza pia kuwa kimetumika kama lugha ya picha.
Inawezekana kabisa Muhusika akawa anamaanisha Mboko kwa maana ya kuwashinda au kuwaadhibu kupitia sanduku la kura.
Au pia yaweza kumaanisha kuwashinda kwa njia ya hoja dhabiti kabisa.
Wewe ni CCM lakiniJames Martin,

Safari hii hatutakubali kuibiwa, kuonewa wala kunyanyaswa.Kuna video clip inayosambaa ikimuonyesha mwanachama wa CCM akitangaza nia yake ya kuwapiga viboko viongozi wa upinzani huku akishangiliwa na wanachama wenzake.
Kitendo hiki na matukio mengine kama ya kushambuliwa msafara wa Lissu inaonyesha dhamira ya CCM kwenye uchaguzi huu.
Swali ninalojiuliza ni kwamba, je wapinzani wataendelea kuvumilia?
View attachment 1542604
Video: Mwanachama wa CCM akitangaza nia ya kuwashambulia wapinzani kwa viboko
Mkuu, umenifanya nicheke sana...wewe ni ccm lakini
Hivi mvunja amani ni yupi. Alosema atainguza watu road akishundwa
Kujua kwake kila kitu, hakumaanishi ndio uhalisia..Mtu animalize form four na kufikiri anajua kila kitu
hahaha soma bandiko lako utajigundua wewe chama gani mkuuMkuu, umenifanya nicheke sana...
Mkuu sijawahi kuwa mshabiki wa chama chochote cha siasa.
Ukishatamka vitu hadharani, huna tena umiliki wa tafsiri ya kile ulichokitamka.James Martin,
Mkuu, sorry.. mimi sio muumini wa masuala ya kisiasa.
Lakini nikuulize swali dogo sana, umepata kusoma fasihi kwenye kiswahili!??
Kuna kitu kinaitwa Lugha ya picha. Sasa neno "Mboko" laweza pia kuwa kimetumika kama lugha ya picha.
Inawezekana kabisa Muhusika akawa anamaanisha Mboko kwa maana ya kuwashinda au kuwaadhibu kupitia sanduku la kura.
Au pia yaweza kumaanisha kuwashinda kwa njia ya hoja dhabiti kabisa.
Siku zote mtu uhukumiwa kwa matendo yake, na matendo ya hao CCM kwa wapinzani hakuna asieyajua, usiwatetee hao wahuni, safari hii hakuna ataekubali kuonewa, ujinga wao sasa basi.James Martin,