Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hivi unaweza kumtukana mtu then ukamwambia simaanishi hivyo na Mahakama ikakuelewa?
James Martin,
Mkuu, sorry.. mimi sio muumini wa masuala ya kisiasa.
Lakini nikuulize swali dogo sana, umepata kusoma fasihi kwenye kiswahili!??
Kuna kitu kinaitwa Lugha ya picha. Sasa neno "Mboko" laweza pia kuwa kimetumika kama lugha ya picha.
Inawezekana kabisa Muhusika akawa anamaanisha Mboko kwa maana ya kuwashinda au kuwaadhibu kupitia sanduku la kura.
Au pia yaweza kumaanisha kuwashinda kwa njia ya hoja dhabiti kabisa.