CCM watangaza kuvunja amani, mwanachama ahubiri kuwacharaza "Mboko" wapinzani

CCM watangaza kuvunja amani, mwanachama ahubiri kuwacharaza "Mboko" wapinzani

Kuna video clip inayosambaa ikimuonyesha mwanachama wa CCM akitangaza nia yake ya kuwapiga viboko viongozi wa upinzani huku akishangiliwa na wanachama wenzake.

Kitendo hiki na matukio mengine kama ya kushambuliwa msafara wa Lissu inaonyesha dhamira ya CCM kwenye Uchaguzi huu.

Swali ninalojiuliza ni kwamba, je wapinzani wataendelea kuvumilia?

View attachment 1542604
Video: Mwanachama wa CCM akitangaza nia ya kuwashambulia wapinzani kwa viboko​

Kazi kweli kweli. Kamanda Sirro kawasikia hawa?
 
James Martin,

Mkuu, sorry.. mimi sio muumini wa masuala ya kisiasa.

Lakini nikuulize swali dogo sana, umepata kusoma fasihi kwenye kiswahili!??

Kuna kitu kinaitwa Lugha ya picha. Sasa neno "Mboko" laweza pia kuwa kimetumika kama lugha ya picha.

Inawezekana kabisa Muhusika akawa anamaanisha Mboko kwa maana ya kuwashinda au kuwaadhibu kupitia sanduku la kura.

Au pia yaweza kumaanisha kuwashinda kwa njia ya hoja dhabiti kabisa.

Sikiliza tena na tena kujiridhisha ni mboko zipi zinaongelewa pale waziwazi. Ya nini kujidanganya?
 
Hivi mvunja amani ni yupi. Alosema atainguza watu road akishundwa

Kwani alisema akishindwa au alisema akishinda halafu asitangazwe kama aliposema Rais kuwa atashangaa Mkurugenzi aliyemteua yeye atangaze mshindi wa upinzani
 
Back
Top Bottom