CCM watangaza kuvunja amani, mwanachama ahubiri kuwacharaza "Mboko" wapinzani

Hivi unaweza kumtukana mtu then ukamwambia simaanishi hivyo na Mahakama ikakuelewa?
 
Inaonesha wenzako wanakupiga nao wewe! Ni lugha ya picha tu mkuu hiyo!
 
Kwani wapinzani hawewezi kupiga mboko ni aina ya watu ambao wanatumia akili za kuvukia barabara
 
Mawazo ya kipumbavu sana.
Wewe unadhani wananchi waswahili wanajua maana ya hiyo fasihi yako?

Ninyi ndiyo huwa mnapalilia machafuko ktk jamii.
Na mnafaa kukemewa kwa ufedhuli huu.

Ni vyema kuondoa utata wa maneno unapozungumza na halaiki yenye uwiano mkubwa wa wasio elimu la sivyo tafasiri yako utakuja kuitoa ulishaumia.
 
Bonge nyanya kama hilo si unalipa "ashikirimu " ya ukwaju afyonze
 
Oooh... ukijenga hoja kwa kuangalia mazingira ya kundi kubwa la hadhira, basi upo sahihi kabisa, lakini ukijenga hoja kwa mrengo wa kisheria, hauko sahihi..

Ahsante
 
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi..
 
watu kama hawa ni kuwaacha tu , huyo na mwili wake mbona anonekana na mzembe tu,
 
Inawezekana pia alimaanisha hicho hicho alichokuwa anasema na kwa hiyo ni muhimu huyo ahojiwe maana katoa kauli 'kali' na za 'shari' kama alivyonukuliwa kiongozi mmoja wa chombo cha usalama akionya wanasiasa
 
Unafiki ni mbaya sana !!. Hivi lugha kama hiyo ingetolewa na wapinzani wa Ccm eg Cdm au ACT huyo mtu asingekuwa chini ya ulinzi wa police ?!. Kwa kuwa kasema Kada mnaiita lugha ya picha ? UNAFIKI
 
Inawezekana pia alimaanisha hicho hicho alichokuwa anasema na kwa hiyo ni muhimu huyo ahojiwe maana katoa kauli 'kali' na za 'shari' kama alivyonukuliwa kiongozi mmoja wa chombo cha usalama akionya wanasiasa
This is point
 

Mkuu, sorry.. na mimi sio muumini wa masuala ya kisiasa.

kuna kitu kinaitwa DOUBLE STANDARD, Maneno hayo hayo akiongea Kiongozi au mwanachama wa CDM basi ndani ya masaa matatu anachukuliwa hatua, je huyo vipi, polisi wanamuogopea nini?
 
Hao wameshachanganyikiwa hawaamini wanachokiona Bila Wasanii ,bila promo ya waaandishi wa habari Lissu ana kusanya kijiji.
Wamepoteana ,hakuna cha midege,reli wala stiglas.
Wamehamia mboko mboko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…