CCM watatoka madarakani kwa njia ya kura ni muhimu kujiandikisha na kupiga kura

Shida sio kujiandikisha au kutopiga kura, bali ni shida kubwa ipo kwenye sheria za uchaguzi na mifumo yake. Sheria haziruhusu kufuatilia kura yako kama imeenda kwa uliyemchagua.

View: https://youtu.be/bsMYAk6cWaE?si=j8tcpZYYvhUkCGNE
 

KAULI TATA ZA WAZIRI NAPE NAUYE ZILIZO ZUA TAHARUKI / "NITAKUSAIDIA KUSHINDA UCHAGUZI MIMI NI MJANJA.​



View: https://www.youtube.com/watch?v=bsMYAk6cWaE&ab_channel=MUCHKNOWTV


Mimi Ninamkubali Mheshimiwa Nape kwa Kauli zake za Kusema Ukweli.
 
Angalizo
Zipo taarifa kwamba watoto wanaandikishwa kwenye daftari ,kama ni kweli ,hii sio afya wazazi kueni makini , siku kura kuruhusu mtoto under 18 kwenda piga kura ,nikumtafutia mwanao matatizo , hii ipingwe kwa nguvu zote
Mkuu,
Sidhani kama ccm watataka watoto wasiokidhi umri wakapige kura vituoni.

Nia yao ni kupata idadi ya watakao jiandikisha ili waitumie kuoanisha na idadi ya kura zao bandia watakazopiga na kuweka kwenye maboksi kabla ya siku ya uchaguzi
 
Wanatishia eti usipojiamdikisha kupiga kura hutatambulika kama mkazi wa eneo husika na hutahudumiwa na kitongoji wa eneo hilo. Hii imekaeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…