Tetesi: CCM yaingiwa na mchecheto, Majaliwa aanza Kampeni kabla ya muda

Tetesi: CCM yaingiwa na mchecheto, Majaliwa aanza Kampeni kabla ya muda

Huo ujumbe angewapa NEC na POLISI
Maana wananchi kura zao hazina tija.
Huyo mteule anajua vema kazi makini ya NEC na polisi ila anahitaji watu waonekana kupanga foleni na kupiga kura hata kama kura zao hazina uwezo wa kuamua nani mshindi! Very sick!
 
Mkuu vipi, wamedukua account yako?
Account Yangu ni ile ile nimegundua raisi anayesema kuwa yeye ni mpiingaji wa ufisadi wakati fedha zinatumiwa kuwahonga wabunge (wa Chadema na CUF) ili kuwahamisha kinyume na matakwa yao.na bado fedha zinapotezwa zaidi katika chaguzi mdogo,walipaji wa kodi wenyewe ni sisi.

Wao wanakwepa kodi wakiambiwa walipe wañatupiga mkwara kuwa tukijaribu kuyanunua watatulaani.(makontena)

Halafu Raisi anakuwa mpole kama piritone.
Very sad!
 
Account Yangu ni ile ile nimegundua raisi anayesema kuwa yeye ni mpiingaji wa ufisadi wakati fedha zinatumiwa kuwahonga wabunge (wa Chadema na CUF) ili kuwahamisha kinyume na matakwa yao.na bado fedha zinapotezwa zaidi katika chaguzi ndogo,walipaji wa kodi wenyewe ni sisi.

Wao wanakwepa kodi wakiambiwa walipe wañatupiga mkwara kuwa tukijaribu kuyanunua watatulaani.(makontena)

Halafu Raisi anakuwa mpole kama piritone.
Very sad!
🙄🙄🙄
 
Tunamtoa Magufuli 2020 tunampa Tundu Lissu CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya na hata waziri mkuu akitumia honi ya meli kutangazia hakuna mtanzania atakayemuelewa.

Na baada ya Lissu kuungia Ikulu atuambie sisi kama watanzania kwa nini alitakiwa auwawe?!

Halafu ikijulikana wote waliohusika ni kitanzi tu gereza la UYUI.
 
Atulie tu maana 'wananchi' wanamuunga mkono na mhimiri wake 'umejichimbia' kuliko mingine.
Mbwa akihama kwao anakofugwa huitwa 'mbwa koko'.
 
Nembo yetu nafikiri inatakiwa iwe hii ndugu zanguni na nyinyi njooni na Idea ya kuwaonnyesha Polisi ukimya wetu sio eti kwamba wao ni wengi kutuzidi sisi!
16716862_303.jpg
 
Please don't shoot!!!! because just because we don't agree!
 

Attachments

  • handsupdontshoot.jpg
    handsupdontshoot.jpg
    24.3 KB · Views: 13
Back
Top Bottom