Tetesi: CCM yalizwa na CHADEMA uchaguzi mdogo Uyui Tabora

Hongera sana chadema.
Kwa ushindi hakuna haja ya ukawa chadema inatosha kusimama peke yake kwanza vyama vingine vya ukawa vinaangamia kwa migogoro kama CUF na NCCR mageuzi.
Chadema hoyee,CUF hoiii,NCCR hoiii.
 
Tabora siku wakiikataa ccm basi inatoka madarakani hizi dalili sio nzuri kwao
 
Unaenda kuongelea ndege kwa wananchi ambaye anahitaji chakula tu wewe una mwambia uwanja wa ndege kweli?
 
huu upupu unaoendelea utawaliza ccm 2020
wananchi wanaona kinachoendelea
tunaona ugumu wa pesa ilhali kina bashite wao wanauzia magazeti kazi hawafanyi,
tunaona tetenas na dawa nyingine muhimu hakuna mahospitalini
tunaasikia pia matusi ya viongozi wetu wakishika vipaza sauti
tunaona pia wanavyotumia hela zetu kugawa kama njugu bila kufwata sheria
tunaona wimbi la watanzania kukosa ajira
tunaona pia vijana wetu wanaondolewa vyuoni ati ni vilaza
tunaona pia hakuna boom vyuoni
tunaona pia kuwa serikali haina ajira na huku mitaani pia tunaona jinsi mabiashara yanavyofungwa kwa kukosekana mizunguko ya uchumi ...........

pia tunana natunaona watu wanavyotekwa humu na tunaona kina cuf na kina nape na kina nanihii walivyoshikiwa mabunduki

tunwaona majibu mtayapata mubashara kabisaaaaaaaaaaaa
huu ni mwanzo endeleeni kusema wanaolalamika ni wapiga dili wakati wapiga dili ni ccm tuliowapa dhamana ya kutuongozea nchi lakini wao wakaigeuza shamba la bibi yao kama si mzaa mama ni baba
 
Lumumba wanaona mwaka wa shetan juzi mpango wao na profesa njaa ulibuma leo matokeo wameburuzwa kumbuka wengine tulipunguzwa unec

Cc Msalani
wamikua kwa wana msimbazi hahaaaa thimba
 
Salamu zimuendee baba yake bashite mzee wa one man show! aka double standard [HASHTAG]#tukutane[/HASHTAG] 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…