Pre GE2025 CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lisu alikua mkorofi na mjuaji sana 🐒
 
Shida mkisikia katoliki mnadhani ni hao vatican tu,,,kumbuka hata orthodox nao ni wakatoliki, Afrika ni wazee wa kula na kipofu na Vatican ameshaanza kupoteza influence hasa huku kwa Africa ndo maana hata ukija pale TEC kuna mgawanyiko japo ni wachini chini kuna wale ambao bado ni loyal kwa Papa na kuna wale wanaoliangalia kanisa kwa upande wa kiAfrika,,,,,hio ishu walijaribu Anglikana walitikisa kiberiti majibu yao wakaja kuyapata kwahio kwa sasa hata Vatican kwa ukanda huu wa Afrika wanacheza kwa step kuna kauli walizitoa wakapima upepo wakaona panaelekea kua kama kwa Anglikana wakabadili kauli,, Afrika ikijitenga na vatican ni kama kanisa linakufa kabisa maana kwa sasa waumini wengi wa hilo kanisa ni kutokea Africa na pia hata mapadri wengi ni wa Afrika huko kwao kanisa limekufa ,,na hilo waseminari wanalijua wao ndo wameshikilia mpini kwa sasa kwa upande wa huku na wala sio papa....
...kuna AMECEA ,makao makuu ni Ethiopia muitaliano akikosea step jamaa wakajitenga kama Anglikana litakua pigo kubwa sana kwao maana pia wanauhasama na Ethiopia tokea waliposhindwa kuwatawala na sasa kanisa likihamishia Vatican yake Ethiopia ni pigo kubwa
 
Hapa ulitumia nini kufikiri ndugu..
 
Hapa ulitumia nini kufikiri ndugu..
Haha unataka siasa za kanisa.....waulize ukraine huko wanajua michezo ya papa na orthodox warusi.............na uzuri shina la hii nchi ni la mashariki zaidi kuliko magharibi.....
 
Kachero alietumika ku neutralize Kambi ya Lowasa 2015 ndio mgombea rasmi wa urais Mwaka huu!

Linaonekana wazi kabisa!ikishindikana Mwinyi ata step up na eye kubaki makam!!

Aliepitishwa asili imemkataa na nyakati pia!
 
Kachero alietumika ku neutralize Kambi ya Lowasa 2015 ndio mgombea rasmi wa urais Mwaka huu!

Linaonekana wazi kabisa!ikishindikana Mwinyi ata step up na eye kubaki makam!!

Aliepitishwa asili imemkataa na nyakati pia!
Kwa Chadema☻☻
 
Wametoa mchango mkubwa wa kusababisha nchi yenye maliasili nyingi iwe na masikini wengi miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…