CCM Yamchagua Sitta kuwa mgombea pekee

CCM Yamchagua Sitta kuwa mgombea pekee

genekai
Siku zote tunasema Chadema ni wapiga deal hamna jipya; wao waliwaza posho zaidi; katiba tulipaswa kuipigia kura moja kwa moja; watanzania tunafahamu tunahitaji kitu gani; upinzani mlishindwa kushinikiza hilo kwa njaa zenu sasa unalaumu nini?

kwa hiyo unamaanisha kuwa tegemeo pekee la watz ni cdm??? kama ndivyo,huko magambani unafanya nini??? je,ni njaa inakusumbua??? Watz wengi mmekuwa wanafiki,mnaiponda cdm mchana sababu ya njaa zenu huku mioyoni mkitarajia iwapiganie!!! Itawapigania vp bila kuisapoti???? Jitambue!!!
Jiulize hao wasio wapiga dili wao wamefanya nini???? au wao sio watz??? na kwa nini uilaumu cdm??? ina maana unakiri kuwa bila cdm hakuna lolote litakalofanyika tz???
 
Last edited by a moderator:
genekai
Siku zote tunasema Chadema ni wapiga deal hamna jipya; wao waliwaza posho zaidi; katiba tulipaswa kuipigia kura moja kwa moja; watanzania tunafahamu tunahitaji kitu gani; upinzani mlishindwa kushinikiza hilo kwa njaa zenu sasa unalaumu nini?
Mkuu,Mchakato wa Katiba Mpya Unafata Sheria,Sheria inataka Mchakato huo Kupitia Hatua zote ikiwa na Bunge Maalumu la Katiba sasa sijui ulitaka Sheria ipindishwe ???Ila Bado Wananchi tunauwezo wa Kuikubali au Kuikataa kwa Hatua itakayofata.
 
Huku kuingia bunge maalum na sura ya vyama ndo kunanipa wasiwasi kama katiba hii itawalenga na kuwawakilisha watanzania!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Mkuu kuna kitu kimoja alikisema Prof. Lipumba kuhusu jinsi Katiba ya Ufaransa ilivyotungwa. Alisema kwamba wajumbe walioteuliwa kutunga Katiba walipigwa marufuku na Katiba hiyo kugombea madaraka yoyote chini ya katiba hiyo.

Hivyo walitunga katiba wakiwa huru akilini na mioyoni kwa kuwa wao hawakuwa na conflict of Interest juu ya katiba wanayotunga.

Hawa wa kwetu wanataka wajionyeshe na kujenga mazingira ndani ya katiba ili mwaka kesho waje kugombea uongozi chini ya katiba wanayoitunga. Hivyo basi wanatunga Katiba kwa ajili yao.

Tungewachagua watu ambao tungewapiga marufuku kugombea mamlaka yoyote chini ya katiba mpya huenda tungepata katiba ya wananchi, lakini kwa hili linaloendelea huko Dodoma sitarajii Katiba ya Wananchi.
 
Kwa maneno hayo c ndo unaungana na Wanaoiponda CCM kuwa ipo kwaajili ya Wanufaika wachache2! Ikiwa CDM walifikiria posho kwa nini ccm hawakuwa na hilo kwa Maslah mapana ya TAIFA?

Katiba ya kutengenezwa na vikundi vya watu siku zote haitatui matatizo; wananchi tunapaswa kushiriki moja kwa moja; mimi ni CCM naaminj katiba bora ni ile inayopigiwa kura na wananchi; katibu hii hata ikiwa nzuri vipi bado CDM mtalia CCM imecheza rafu! CCM haipo kwa manufaa ya wachache hiyo katiba hata kama tungeletewa moja kwa moja bado ingepita; CCM ndiyo walio wengi i
 
kwa hiyo kumbe na wewe ni mmoja wetu tunayeamini kuwa wapinzani wapo sahihi??? tunaoamini kuwa ccm hawana nia ya kuleta katiba ya watz wote??? unapolaumu wapinzani huku ukisapoti ccm una maana ipi??? ni unafiki au???? wewe binafsi umeshiriki vp kuhakikisha tunapata katiba bora????? ulitaka nani akupiganie huku wewe ukiendekeza ushabiki wa kijinga kwa magamba???? nani ana wajibu wa kukupigania wewe badalla ya kujipigania????? Amka iunge mkono cdm ili kwa pamoja tupiganie maslahi mapana ya taifa letu!!!!

Chadema inayopigania maslahi ya taifa? Wewe fungua bongo lako kama kweli Chadema inapigania maslahi ya taifa hiyo ungeipigia kura viongozi wako wanajali matumbo yao; wao kama chama kikuu cha upinzani wangeweza kushinikiza hilo. Mimi taifa nalipigania ndani CCM hapa panatosha kabisa!
 
Sisi tunasubiri huruma ya MUNGU kwa watu wake. ccm wana huruma gani!????

Duh! ndg yangu cjui km umeelewa nilichoandika! Yaani unataka MUNGU atuletee KATIBA? ctumepewa Akili yakujua MEMA na MABAYA? ss kwenye mambo ya Katiba MUNGU anahuckaje? mbona ako na mambo mengi yamaana yakufanya kuliko huu Upuuzi tunaoufanya wakulibomoa TAIFA letu!
 
Mkuu,Mchakato wa Katiba Mpya Unafata Sheria,Sheria inataka Mchakato huo Kupitia Hatua zote ikiwa na Bunge Maalumu la Katiba sasa sijui ulitaka Sheria ipindishwe ???Ila Bado Wananchi tunauwezo wa Kuikubali au Kuikataa kwa Hatua itakayofata.

Usanii mtupu mchakato hautakidhi utashi wa wananchi mengi yataondolewa na wananchi hawatakuwa na uwezo wa kuyarudisha; jiulize kulikuwa na haja gani kutumia mabilioni kwenye tume na sasa yanatumika mengine kwenye hili bunge la kisanii pesa zilizotumika zinatosha kuitisha referendum ya katiba na zingebakia
 
Tokea mchakato wa katiba uanze, CCM imekuwa ni chama pekee cha siasa kinachohaha
 
Katiba ya kutengenezwa na vikundi vya watu siku zote haitatui matatizo; wananchi tunapaswa kushiriki moja kwa moja; mimi ni CCM naaminj katiba bora ni ile inayopigiwa kura na wananchi; katibu hii hata ikiwa nzuri vipi bado CDM mtalia CCM imecheza rafu! CCM haipo kwa manufaa ya wachache hiyo katiba hata kama tungeletewa moja kwa moja bado ingepita; CCM ndiyo walio wengi i

Asante Mkuu kwa maelezo lkn kuna watu tangu Mwanzo waliupinga huu Mchakato wakaambulia Kejeli, 2fanyeje?
 
Wanaoona Samwel Sitta anafaa wanashindwa kuangalia vitu kwa uhalisia wake.

Maadam kachaguliwa na wanaccm basi anaenda kupigania maslahi yao.Ni lazima amewahakikishia wenzake kuwa jambo la muungano litakuwa kama CCM wanavyotaka.Serikali mbili.

Sitta alishawahi kunukuliwa akisema serikali tatu ni gharama na kwamba hatuwezi kuwa na maraisi watatu.Naamini huu bado ni msimamo wake na sasa kwakuwa ni msimamo wa chama,amewekwa ili ahakikishe hilo linafanikiwa.

Sitta ana maslahi na uraisi ujao na hasa ugombea kupitia CCM.Hata kama hana mpango wa kugombea lakini kuna kundi moja la uraisi yeye mzee Sitta amejiapiza kuwa haliwezi kupewa nchi.Atatumia hii nafasi vizuri kupata ushawishi kwa wanaccm ili wasije wakaliamini kundi lake hasimu.Hakuna njia nyingine ya kupata ushawishi kwa sasa isipokuwa kuwasikiliza CCM wanataka katiba ya aina gani.Badae hata akipinga kundi hilo kutaka uraisi ataeleweka kwa kuwa alishahakikisha maslahi ya ccm yanalindwa kwenye bunge la katiba.

Bila haya kuwepo Sitta angekuwa kiongozi mzuri sana wa bunge hili maalum.
 
Sitta wamemuweza,ajue kwamba kelele zake za kujifanya mzarendo zinakwenda ama kustawi au kuisha. Ametwishwa gunia la misumari kichwani. Atumie akili na busara kukabiriana na hili, pia ahakikishe anaweka kando maslahi ya chama na kufuata ya taifa.
 
tena kutoka kwenye chama cha chama...

Hapa mm ndo sielewi kwakweli,,! Jamaa wale walitukanwa km watoto kwamba wengine wanataka umaarufu wengine walienda IKULU kunywa JUICE khaaa Nway ndivyo tulivyo!,,,!
 
Last edited by a moderator:
Asante Mkuu kwa maelezo lkn kuna watu tangu Mwanzo waliupinga huu Mchakato wakaambulia Kejeli, 2fanyeje?

Sasa hivi hakuna subiri hicho utakacholetewa ukikubali au ukikatae
 
Huu mchakato wote ni kiini macho mwisho mkishtuka mna katiba ya CCM.
 
Historia ya BUNGE la 9 Inambeba Mh,6 kukubalika na wa2 wengi Lkn mm siamini km ujasiri aliokuwa nao Kipindi kile Bado anao hadi leo 7bu kwenye uchaguzi wa SPIKA wa JMT alinyooshwa! ni huku kwenye vyama vingine ndo SIKIO linaweza kuzidi KICHWA kwa CCM hakuna huo Upuuzi 2juetu hata kupewa hiyo Nafasi lazima atakuwa kapewa maelekezo! angebisha wacngempitisha CCM hawanaga UTANI kwenye issue inayohusu Maslahi yao! Kwakuwa maTOMASO ni wengi Muda utaamua ngoja tuone!
 
Ndugu? % kubwa ya wapiga Kura ni hao wanaovikwa Kapelo na kulishwa uBWABWA wenye uelewa wa mambo walio wengi wanakaa hom kutokwa POVU wanajiita wadadis wa mambo SHAME,,! 2kubali kuwa mchakato umekosewa tangu mwanzo so hadi hapa 2subiri Huruma ya CCM tu,,! hutaki unaacha!

Dah...kweli aisee
 
Back
Top Bottom