shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 125
genekai
Siku zote tunasema Chadema ni wapiga deal hamna jipya; wao waliwaza posho zaidi; katiba tulipaswa kuipigia kura moja kwa moja; watanzania tunafahamu tunahitaji kitu gani; upinzani mlishindwa kushinikiza hilo kwa njaa zenu sasa unalaumu nini?
kwa hiyo unamaanisha kuwa tegemeo pekee la watz ni cdm??? kama ndivyo,huko magambani unafanya nini??? je,ni njaa inakusumbua??? Watz wengi mmekuwa wanafiki,mnaiponda cdm mchana sababu ya njaa zenu huku mioyoni mkitarajia iwapiganie!!! Itawapigania vp bila kuisapoti???? Jitambue!!!
Jiulize hao wasio wapiga dili wao wamefanya nini???? au wao sio watz??? na kwa nini uilaumu cdm??? ina maana unakiri kuwa bila cdm hakuna lolote litakalofanyika tz???
Last edited by a moderator: