CCM Yamchagua Sitta kuwa mgombea pekee

CCM Yamchagua Sitta kuwa mgombea pekee

Sasa hivi hakuna subiri hicho utakacholetewa ukikubali au ukikatae

Ndg nw ndo naelewa kwanini NCH zetu hizi za KiAFRCA haziendelei 7bu yakubishana kijinga hata km ukweli mtu anaujua Kukwama huku kuna watu walikuona tangu zamani walipotwambia tukabisha kwamba walikuwa wanataka umaarufu ss Leo yametokea tumepoteza mapesa bila kupata tulichokusdia kwanini hatukukataa tangu mwanzo? Mkuu wakati mwingine huwa najidharau kuzaliwa MTU MWEUSI manake mambo tunayofanya niyakijinga sana!
 
Huna huna sababu ya kujidharau hili linakufanya uwe makini zaidi na kauli za wanasiasa hasa wa upinzani; katiba kama hizi zimeleta sana machafuko ya kisiasa kwenye nchi nyingi za Afrika; nilitegemea wanasiasa wetu walione hilo katiba ambazo haziwakilishi maamuzi ya wananchi zimeleta majanga mengi sana Afrika
 
mi nahamia airtel nasubiri kupiga kura kupinga muungano
 
kwa hiyo kumbe na wewe ni mmoja wetu tunayeamini kuwa wapinzani wapo sahihi??? tunaoamini kuwa ccm hawana nia ya kuleta katiba ya watz wote??? unapolaumu wapinzani huku ukisapoti ccm una maana ipi??? ni unafiki au???? wewe binafsi umeshiriki vp kuhakikisha tunapata katiba bora????? ulitaka nani akupiganie huku wewe ukiendekeza ushabiki wa kijinga kwa magamba???? nani ana wajibu wa kukupigania wewe badalla ya kujipigania????? Amka iunge mkono cdm ili kwa pamoja tupiganie maslahi mapana ya taifa letu!!!!

Chadema kazi yao kubwa ni kupigania posho tu hakuna jingine, siku wakimaliza kugawana hizo noti kwa uroho wao Kama fisi kaona nyama, watakuta sisi tumeshapata Katiba Mpya.
 
Ngoja nikasonge Ugali wangu wa muhogo na kisamvi cha karanga nile nikojoe nikalale mie.

images

images

images
Usonge ugali,ule,ukojoe,ulale! kwakwakwakwa,tehe tehe tehe tehe. sina mbavu
 
Wajumbe wa CCM wamempitisha Sitta kugombea uenyekiti wa Bunge la katiba huku bwana Andrew Chenge akiripotiwa kujitoa.

CHANZO:Nipashe.

MY TAKE:
Makamu mwenyekiti asitoke CCM na hili wajumbe wengine wasikubali kabisa.

Ni vema makamu mwenyekiti atoke katika vyama au tasisi nyingine.
 
Makamu ni lazima awe wa kutoka nchi jirani kwahiyo apigiwe chapuo wa Cuf.
 
hapo kweli mkuu kwa SITTA nadiriki kusema watanzania tumepata
 
Sitta ni muumini wa serikali tatu, ataendana na imani ya watanzania wengi, pengine tunaweza kupata katiba mpya
 
Lazima mtambue kwamba SamuelSitta ni muumini wa serikali 2 au serikali moja...ndo maana ccm wamempitisha.
 
hapo kweli mkuu kwa SITTA nadiriki kusema watanzania tumepata
Huyu ni CCM damu damu kwahiyo tusimuamini sana licha ya kuwa na record nzuri.

Kumbuka tu "Zimwi likujualo,halikuli ukakwisha".
 
Wajumbe wa CCM wamempitisha Sitta kugombea uenyekiti wa Bunge la katiba huku bwana Andrew Chenge akiripotiwa kujitoa.

CHANZO:Nipashe.

MY TAKE:
Makamu mwenyekiti asitoke CCM na hili wajumbe wengine wasikubali kabisa.

Ni vema makamu mwenyekiti atoke katika vyama au tasisi nyingine.

Mkuu, wewe wasiwasi wako upo wapi? Kwani kitendo cha SITTA kuteuliwa na chama chake ndo atakuwa amechaguliwa? kama atachaguliwa, wewe utawazuia vipi wasitoe pia nafasi ya Makamu Mwenyekiti?
 
Wajumbe wa CCM wamempitisha Sitta kugombea uenyekiti wa Bunge la katiba huku bwana Andrew Chenge akiripotiwa kujitoa.

CHANZO:Nipashe.

MY TAKE:
Makamu mwenyekiti asitoke CCM na hili wajumbe wengine wasikubali kabisa.

Ni vema makamu mwenyekiti atoke katika vyama au tasisi nyingine.

Hakuna ubishi, Sitta mzee wa standards ndiye anatakiwa kuwa mwenyekiti wa bunge la katiba.
 
Back
Top Bottom