G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Akigombea ntampigia kura popote alipo!!bora huyu kuliko huyo muuaji,jeuri,mrundi,pandikizi na majina mengine ongezea!!!
Ndo madhara ya kofia mbili,ANC waliyaona haya mwafrika yeyeto bila kumuwekea mfumo wa kumdhibiti ni lazima ataumiza wenzie.
Hapana, hapa umekosea kidogo! Ulitakiwa useme kuwa wapinzani wanatakiwa wamwamini tu iwapo watamuona ameanzisha chama chake
Wewe ni mwanaCCM dada yangu?Sawa mamadogo.lakini hakuna mwana CCM aliyefurahishwa na maamuzi ya kidikteta Kama haya ya kufukuza watu hovyo hatujui kesho atakuwa nani.
Haiwezakani mtu mmoja awe rais wakati huo huo ni mwenyekiti ni lzm aumize watu labda tu awe ni matured na civilized yaan anaesali na sio anaeonekana nyumba za ibadaNi kawaida kwa mwanadamu yeyote asipodhibitiwa hata magharibi wana mifumo ambayo ni advanced sana ya kudhibiti kuliko hata ya Muafrika.
Haiwezakani mtu mmoja awe rais wakati huo huo ni mwenyekiti ni lzm aumize watu labda tu awe ni matured na civilized yaan anaesali na sio anaeonekana nyumba za ibada
H
huwa nafikiria wanaposema nguvu ya kinana.Ni ipi hasa?
Sheria iliyopitishwa na wana Lumumba ni kwamba mtu haruhusiwi kugombea mpaka awe ametimiza walau miaka miwili ndani ya chama.
Ni lini ulisikia amelalamika mkuu? Yeye alishasema angetaka angewashtaki kamati kuu ila anaacha yapite. Chama kikaamua kuchukua hatua. Halafu mambo ya CCM waachie wenyewe.MLALAMIKAJI ANAONGOZA KIKAO CHA KUAMUA KUHUSU WALALAMIKAJI. HAPO INAKAAJE? HAKI ITATENDEKA? HAJI MANARA ANAKUWA REFARII KWENYE MECHI YA YANGA NA SIMBA, MWEEEEE
Ajaonyesha nia ya kugombea angeonyesha angefukuzwa na yeye