Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Nasubiri atakapo ondoka mwenye kigoda wa sasa! Huyo hawatasema, bali nadhani watatukana hata yasiyo ndani ya kamusi. Tusubiri tusikie.CCM haina mwenyewe. Waswahili wanasema "Ondoka Tukuseme"
Sent using Jamii Forums mobile app