CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Ama kwa hakika CCM ni chama kikubwa chenye demokrasia pana tofauti na Chadema.

Awamu iliyopita akiwa Katibu mkuu wa CCM mzee Kinana alinukuliwa mara kadhaa akiwaita mawaziri wa serikali yake kuwa ni mizigo lakini leo yeye ndio amegeuka kuwa mzigo mbele ya Wasomi wanaokiongoza chama kwa sasa.

Niishie hapo Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Demokrasia pana ni kumtimua anaetaka kupimana ubavu na mwenyekiti tena kwa kufuata katiba?
 
Kinana aliwaita mizigo mawaziri wasiofanya kazi, walikalia kupiga madili tu. Yeye kama amekuwa mzigo ni kwa chuki binafsi mlizonazo ccm kwasasa. Maana hakufanya kosa lolote zaidi ya kukosoa utendaji wa bwana mkubwa. Wote mnaojikomba kwa mwenyekiti mpate chochote ndiyo mizigo. Cha msingi mnapaswa kujua kila jambo lina mwisho wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unafiki wewe mfata upepo,na pia kuwapa akili sio kuleta hoja nyepesi hapa,Kinana alifanya kazi na aliisaidia serikali ya ccm,kwa hali na mali,na kusema kuwa mawaziri fulani mizigo hakukosea alikuwa sahihi ndio maana watu wote walimuunga mkono,acheni ushabiki wa njaa nyie.

Kwamba kuna mawaziri walikua wakipiga dili ila yeye Kinana alikua hapigi dili?
Kuna kiongozi wa CCM alikua hapigi dili?
Labda kama aliwatuhumu wenzake kuwa ni mizigo kinafiki Kabisa. Mzigo kwa CCM alikua ni mwenyekiti na rais wa wakati huo walikua wanashindwa kuwa wawazi kumwambia wewe mwenyekiti ni mzigo na uteua mizigo mingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unafiki wewe mfata upepo,na pia kuwapa akili sio kuleta hoja nyepesi hapa,Kinana alifanya kazi na aliisaidia serikali ya ccm,kwa hali na mali,na kusema kuwa mawaziri fulani mizigo hakukosea alikuwa sahihi ndio maana watu wote walimuunga mkono,acheni ushabiki wa njaa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niserikali ya CCM ilimsaidia Kinana au ni Kinana aliisaidia serikali ya CCM?
ngoja tumuhamishie TADEA tuone TADEA wanavyoshinda uchaguzi.
Hakuna mtu CCM mwenye uwezo nnje ya vyombo vya dola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demokrasia pana ni kumtimua anaetaka kupimana ubavu na mwenyekiti tena kwa kufuata katiba?
Hakuna demokrasia Huku Africa, kama anavyokatwa Lowassa kibabe Membe hakulalamika sasa wembe uleule umemfikia atulie.
Maamuzi Yakiwa upande wako unafurahi hata Kama Mabovu yakikugeuka unanuna [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unafiki wewe mfata upepo,na pia kuwapa akili sio kuleta hoja nyepesi hapa,Kinana alifanya kazi na aliisaidia serikali ya ccm,kwa hali na mali,na kusema kuwa mawaziri fulani mizigo hakukosea alikuwa sahihi ndio maana watu wote walimuunga mkono,acheni ushabiki wa njaa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee umekasirika sana!
 
Ama kwa hakika CCM ni chama kikubwa chenye demokrasia pana tofauti na Chadema.

Awamu iliyopita akiwa Katibu mkuu wa CCM mzee Kinana alinukuliwa mara kadhaa akiwaita mawaziri wa serikali yake kuwa ni mizigo lakini leo yeye ndio amegeuka kuwa mzigo mbele ya Wasomi wanaokiongoza chama kwa sasa.

Niishie hapo Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Jiongeze kichwani kidogo waliotumbuliwa awamu hii nao tumeambiwa sababu ni mizigo mueke muhongo,mwigulu,lugora,njanuari nk.
sasa aliyesema kuna mawaziri mizigo awamu ya4 alikosea nini? Acheni ushabiki wa kimama kinana hajakosea Ila anadhalilishwa kama maprezoo wastaafu wanavyofanyiwa maana tunaambiwa walituchelewesha sana,waliruhusu tukaibiwa saaana,walizubaa tukachezewa mmmno, hawakuweza kununua hata ndege tukasubiri hadi huyu aje!! Kiufupi kunaviongozi walikuwa mizigo tena mizigo ya shida kama sio ya dhambi...
 
Kinana aliwaita mizigo mawaziri wasiofanya kazi, walikalia kupiga madili tu. Yeye kama amekuwa mzigo ni kwa chuki binafsi mlizonazo ccm kwasasa. Maana hakufanya kosa lolote zaidi ya kukosoa utendaji wa bwana mkubwa. Wote mnaojikomba kwa mwenyekiti mpate chochote ndiyo mizigo. Cha msingi mnapaswa kujua kila jambo lina mwisho wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Meli ni yangu lakini mzigo si wangu!
 
Jiongeze kichwani kidogo waliotumbuliwa awamu hii nao tumeambiwa sababu ni mizigo mueke muhongo,mwigulu,lugora,njanuari nk.
sasa aliyesema kuna mawaziri mizigo awamu ya4 alikosea nini? Acheni ushabiki wa kimama kinana hajakosea Ila anadhalilishwa kama maprezoo wastaafu wanavyofanyiwa maana tunaambiwa walituchelewesha sana,waliruhusu tukaibiwa saaana,walizubaa tukachezewa mmmno, hawakuweza kununua hata ndege tukasubiri hadi huyu aje!! Kiufupi kunaviongozi walikuwa mizigo tena mizigo ya shida kama sio ya dhambi...
Na kwa sasa yeye na Membe ni mizigo!
 
Back
Top Bottom