Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
CCM ni chama kikubwa sana, hao watu hawana ubavu wa kufanya Ccm iyumbeBoniphace Kichonge,
Naonya CCM wasifanye Maamuzi ya Hasira na Kukomoa dhidi ya hawa Makada Waandamizi kwani wanaweza wakaja Kujuta kama si Kujutia hapo baadae.
Nimeonya hivi hasa baada ya kupata za chini chini kuwa Maamuzi yatakayotolewa dhidi yao yatakuwa ni ya Kuwakomoa zaidi badala ya kuwa ya Kibusara kwa Afya na Ustawi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Sent using Jamii Forums mobile app