Kasunguranyama
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 499
- 368
Mtoa Post mchokozi kwelkwel!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura yko haina kazi..???Membe ana kura yangu, nilisema sipigi kura sasa nimepata sababu ya kupiga kura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa CCM usijione " Umefika"
Huyu Kangi alizidisha mno mbwembwe na ujinga,kwanza hakustahili ile post maana hana weledi
Wanayo......ila ni ile ya punda labda!CCM hawana shukurani.
Kila zama na kitabu chake bwashee!Kila awamu na wenyewe........
Yeah,saizi ni Makonda ndiyo mwenye funguo,enzi za Jk kuna January so 2025 naingia ni zamu yanguKila zama na kitabu chake bwashee!
Demokrasia pana ni kumtimua anaetaka kupimana ubavu na mwenyekiti tena kwa kufuata katiba?Ama kwa hakika CCM ni chama kikubwa chenye demokrasia pana tofauti na Chadema.
Awamu iliyopita akiwa Katibu mkuu wa CCM mzee Kinana alinukuliwa mara kadhaa akiwaita mawaziri wa serikali yake kuwa ni mizigo lakini leo yeye ndio amegeuka kuwa mzigo mbele ya Wasomi wanaokiongoza chama kwa sasa.
Niishie hapo Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Ama kwa hakika CCM ni chama kikubwa chenye demokrasia pana tofauti na Chadema.

Kwamba kuna mawaziri walikua wakipiga dili ila yeye Kinana alikua hapigi dili?Kinana aliwaita mizigo mawaziri wasiofanya kazi, walikalia kupiga madili tu. Yeye kama amekuwa mzigo ni kwa chuki binafsi mlizonazo ccm kwasasa. Maana hakufanya kosa lolote zaidi ya kukosoa utendaji wa bwana mkubwa. Wote mnaojikomba kwa mwenyekiti mpate chochote ndiyo mizigo. Cha msingi mnapaswa kujua kila jambo lina mwisho wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niserikali ya CCM ilimsaidia Kinana au ni Kinana aliisaidia serikali ya CCM?Acha unafiki wewe mfata upepo,na pia kuwapa akili sio kuleta hoja nyepesi hapa,Kinana alifanya kazi na aliisaidia serikali ya ccm,kwa hali na mali,na kusema kuwa mawaziri fulani mizigo hakukosea alikuwa sahihi ndio maana watu wote walimuunga mkono,acheni ushabiki wa njaa nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna demokrasia Huku Africa, kama anavyokatwa Lowassa kibabe Membe hakulalamika sasa wembe uleule umemfikia atulie.Demokrasia pana ni kumtimua anaetaka kupimana ubavu na mwenyekiti tena kwa kufuata katiba?
Bwashee umekasirika sana!Acha unafiki wewe mfata upepo,na pia kuwapa akili sio kuleta hoja nyepesi hapa,Kinana alifanya kazi na aliisaidia serikali ya ccm,kwa hali na mali,na kusema kuwa mawaziri fulani mizigo hakukosea alikuwa sahihi ndio maana watu wote walimuunga mkono,acheni ushabiki wa njaa nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiongeze kichwani kidogo waliotumbuliwa awamu hii nao tumeambiwa sababu ni mizigo mueke muhongo,mwigulu,lugora,njanuari nk.Ama kwa hakika CCM ni chama kikubwa chenye demokrasia pana tofauti na Chadema.
Awamu iliyopita akiwa Katibu mkuu wa CCM mzee Kinana alinukuliwa mara kadhaa akiwaita mawaziri wa serikali yake kuwa ni mizigo lakini leo yeye ndio amegeuka kuwa mzigo mbele ya Wasomi wanaokiongoza chama kwa sasa.
Niishie hapo Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Meli ni yangu lakini mzigo si wangu!Kinana aliwaita mizigo mawaziri wasiofanya kazi, walikalia kupiga madili tu. Yeye kama amekuwa mzigo ni kwa chuki binafsi mlizonazo ccm kwasasa. Maana hakufanya kosa lolote zaidi ya kukosoa utendaji wa bwana mkubwa. Wote mnaojikomba kwa mwenyekiti mpate chochote ndiyo mizigo. Cha msingi mnapaswa kujua kila jambo lina mwisho wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa sasa yeye na Membe ni mizigo!Jiongeze kichwani kidogo waliotumbuliwa awamu hii nao tumeambiwa sababu ni mizigo mueke muhongo,mwigulu,lugora,njanuari nk.
sasa aliyesema kuna mawaziri mizigo awamu ya4 alikosea nini? Acheni ushabiki wa kimama kinana hajakosea Ila anadhalilishwa kama maprezoo wastaafu wanavyofanyiwa maana tunaambiwa walituchelewesha sana,waliruhusu tukaibiwa saaana,walizubaa tukachezewa mmmno, hawakuweza kununua hata ndege tukasubiri hadi huyu aje!! Kiufupi kunaviongozi walikuwa mizigo tena mizigo ya shida kama sio ya dhambi...