Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 717
- 666
Ni porojo tu hiyo. Hiyo sheria ilitungwa lini na bunge ipi.Jamani si nilisikia sheria mpya ya vyama vya siasa ni kuwa kama haujafikisha mwaka mmoja kwenye chama cha siasa hauna nguvu ya kugombea au ilikuwa sio ivyo tena
Sent using komputa mpakato
Chama kimetekwa Na jpm Na kundi lake, wanachama wametupwa pembeniMwisho wa siku hakuna aliye mkubwa zaidi ya chama wote wamefukuzwa!
Kosa la Membe ni kutaka kuchuwana na Magufuli ndani ya chama. Adhabu kama hiyo alipewa shibuda alipo nuwia kuchuwana na JK. Conclusion ni kuwa mwenyekiti wa chama hapingwi ndani ya CCM.Ni lini ulisikia amelalamika mkuu? Yeye alishasema angetaka angewashtaki kamati kuu ila anaacha yapite. Chama kikaamua kuchukua hatua. Halafu mambo ya CCM waachie wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akionyesha Cheche tu mashamba yanaanza kunyang'anywa kama Mr.zero sumayeZaidi naona anenda kufa kifo cha mende cha kisiasa. Angalau Lowassa alikuwa na nguvu wakati ule, lakini nguvu ya Membe haiwezi kuitingisha CCM.
Ndiko atakoenda huko, mpaka sasa ACT hawana presidential material kwa upande wa bara, hivyo nafasi ipo wazi kwakeHaijalishi Membe ataenda chama kipi cha upinzani, athari kwa CCM ni negligible!
Ila akihamia ACT upepo wa siasa za upinzani nchini lazima uathirike!
Kwani yeye sio mwanachama!Chama kimetekwa Na jpm Na kundi lake, wanachama wametupwa pembeni