CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Hata mm binafsi huwa sioni impact yoyote kwa Membe,labda kama simjui vema


Ni kweli hana mvuto kwa wananchi ila nafikiri ametumia nafasi yake kama Waziri mambo ya nje kusabotage nchi yetu, kwa kifupi ni vurugu tu lkn hana uwezo wowote wa kushinda Uraisi TZ kwanza hata 1/3 ya kura alizopata Lowasa hawezi kufikisha.
 
Labda nikusaidie mkuu, si kwamba Chadema ina sera nzuri sana za kuja kumkomboa mwananchi kuliko ccm au chama kingine cha siasa, mapenzi ya wananchi kwa chadema yanatokana na Wananchi wengi kutoipenda/kuichoka ccm. Waweza maliza Chadema wote lakini huwezi maliza upinzani wote ambao uko ndani ya mioyo ya wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani mwaka huu anasimama mtu mmoja tu kwaniaba ya vyama vyote.nasikia majadiliano yanaendeelea
Ni sawa ila Zitto na Lipumba ni wakwenda nae kwa akili sana,sababu game inaonyesha dakika ya mwisho Zitto atajitoa na kumchukua Membe ilikugawana kura ya wapinzani na adui wao kupita kirahisi MEKO
 
Huu mtego kwa wapinzani, kachero mbobezi, anakuja kuvuruga....pandikizi hilo laja

Everyday is Saturday....................😎
 
Back
Top Bottom