goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
Ameandaliwa mtu maarum wa kuyakubali matokeo ya uchaguzi mkuu 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatutisha, ujue tu kuwa hata Maalim seif alifukuzwa ndani ya CCM na sasa amefukuzwa CUF....two options.
1.wanazuiwa kufanya siasa for sometime -mpaka uchaguzi upite
2.watasema tumewasamehe lakn mmeonywa
.....hawana uwezo wa kuwafanya nje ya hayo mawili coz wanajua nguvu ya Kinana si ya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani huko ni kurahisisha mambo... labda hujakielewa CCM. Angalia vizuri...Tunasema Siku zote, hivi vyama Ni Mali ya watu badala ya taasisi, membe kafukuzwa uwanachama kwa sababu ya kutaka kumpinga jpm ndani ya ccm kugombea urais sio kingine.
HUyo ni mwoga kama kunguru. Membe kisha baki peke yake!Tutaendelea kusubiri mpaka tuone mzee makamba anavyobatizwa kwa moto
Akijidai mjanja atanyea debe, mabilioni ya Kadhafi. Yaani CCM hapo wanamsubiria ni vipi atareact. CCM=Magufuli.Inajulikana wazi mwana ccm yoyote akitoka ndani ya ccm anakuwa sawa na Simba wa kuchorwa tu.
Atulie tu asimamie biashara zake, akijifanya mjuaji watamlegegeza kila kitu... Hizi nchi za kijamaa Chama na Raisi ndio kila kitu.
KAMA MAMBO YA CCM TUWAACHIE WENYEWE SASA MNAYALETA KWETU YA NINI? MNATWAMBIA YA NINI WAKATI HAYATUHUSU? MNAFANYA PRESS RELEASE YA NINI WAKATI HAYATUHUSU?Ni lini ulisikia amelalamika mkuu? Yeye alishasema angetaka angewashtaki kamati kuu ila anaacha yapite. Chama kikaamua kuchukua hatua. Halafu mambo ya CCM waachie wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe anachekesha kweli, hajui kuwa Membe team walikuwa wanataka afanye hivyohivyo. Sasa Moto uliowashwa kwa kumfukuza Membe mtaouona muda si mrefu.
Jiwe anachekesha kweli, hajui kuwa Membe team walikuwa wanataka afanye hivyohivyo. Sasa Moto uliowashwa kwa kumfukuza Membe mtaouona muda si mrefu.
Tatizo ni uwezo mdogo wa Upinzani kuelewa uaminifu wa wanaohama au kuondolewa CCM wakati CCM inawameza wanaohama upinzani kwa ufahamu zaidi.Vyama vya upinzani kaeni mbali na mtu huyu, hakuna ugomvi kati yao ila mipango tu ya kuuteketeza upinzani Nchini, TUSIMUAMINI. Nyoka tofauti sumu ileile kama ya mamvi
Sent using Jamii Forums mobile app