CCM Yamshambulia vikali Joseph Warioba

CCM Yamshambulia vikali Joseph Warioba

Watu wote walioko ccm wana akili fupi,unapomtukana/kumdharau Jaji Joseph Warioba.....jua unamdharau aliyemteua yaan Ndg Kikwete.
 
yani huyu bulembo hata jinsi anavyoongea inaonyesha ana ufinyu wa fikra, jaji warioba naye ni mtanzania ana kila sababu ya kutoa maoni yake nje ya kofia yake ya mk wa tume ya katiba mpya. Haya na wewe bulembo unaemkataza warioba hasiwasemee wananch kwan wewe ni nan katka nch hii, afadhal na warioba ambaye alikwisha wah kuwa pm wa nch haya wewe ushawah kuwa nan? Kama umeishwa sera kaa kimya mwache warioba afanye kaz yake
 
...
......zunguka!! zunguka!! zunguka!!!
..

....ha ha ha ha ha

......umri si maarifa...umri ni ubongo kufanya kazi...


....mabolembo!!! makambo!!! makambo!! makambo kweli kweli......
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Abdallah Bulembo amemshambulia kwa maneno makali Mkiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba.

Akihutubia mkutano wa CCM Tanga Bulembo amesema Warioba hana haki wala mamlaka ya kuwasemea Watanzania kuhusu Katiba mpya.

Bulembo ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu CCM amesema Warioba anapaswa kukaa mbali na kuwaamulia Watanzania Katiba aitakayo yeye.

Huku akisisitiza kupinga kinachofanywa na Warioba aliwauliza wananchi kwa msisitizo..'Kwani Warioba ni Nani?' ....

Itakumbukwa Abdalla Bulembo alishindwa vibaya kwenye uchaguzi wa udiwani 2010 na mgombea wa CHADEMA.

Source:ITV

Source ?????????????
 
...
......zunguka!! zunguka!! zunguka!!!
..

....ha ha ha ha ha

......umri si maarifa...umri ni ubongo kufanya kazi...


....mabolembo!!! makambo!!! makambo!! makambo kweli kweli......

Hahaha hahaha hahaha hahaha
 
pia inakumbukwa sana mbowe na slaa walishindwa vibaya sana katika uchaguzi wa uraisi tanzania na wagombea wa ccm, na ni tunawaona kila siku wakihutubia na kukosowa wenzao. When they were never given the mandate to lead by tanzanians and yet they have loud mouths and we call that democracy. Ccm public they know the word tolerance unlike cdm.

kwa kuchakachua kura
 
Warioba anataka kujifanya eti ana miliki mawazo na fikra za watz wote.
 
Katiba inayoenda kuundwa si ya ccm, chadema wala cuf wala warioba. Kila mtu ana haki sawa na mwingine kutoa maoni yake.
 
Hii tabia ya kupinga maoni ya wengine ni ya kijinga. Kinachotakiwa kila mtu atoe maoni na yaheshimiwe. Warioba na magenge mengine ya wahuni yanataka kulazimisha kile wanachokitaka wao badala ya kinachotakiwa na wengi kwa uhuru wao
 
yani huyu bulembo hata jinsi anavyoongea inaonyesha ana ufinyu wa fikra, jaji warioba naye ni mtanzania ana kila sababu ya kutoa maoni yake nje ya kofia yake ya mk wa tume ya katiba mpya. Haya na wewe bulembo unaemkataza warioba hasiwasemee wananch kwan wewe ni nan katka nch hii, afadhal na warioba ambaye alikwisha wah kuwa pm wa nch haya wewe ushawah kuwa nan? Kama umeishwa sera kaa kimya mwache warioba afanye kaz yake

Alishawahi kuwa mgombea wa udiwani akachakazwa mbaya na Kamanda.
 
Watu wote walioko ccm wana akili fupi,unapomtukana/kumdharau Jaji Joseph Warioba.....jua unamdharau aliyemteua yaan Ndg Kikwete.
Wewe ndio una viakili vichache sana. Kwa hiyo kwa ujinga wako huu tuwalaumu wazazi wako au ww kwa uzembe wako wa kufikiri
 
huyo jamaa ni std 7 hayo maneno analishwa na mpambe wake mbeba box alie lost le mutuz na ndo anazunguka naye mikoani,ukisoma post za william malecela kuhusu Warioba na maneno ya Bulembo leo ni copy n paste

Hivi huyu le mutuz mama yake wa kufikia ndo Anne Kilanga?
 
Sikuamini masikio yangu aliyokuwa anayasema bulembo, Kweli CCM imefikia hatua mbaya;

nikifananisha viongozi wa CCM na maji ya kunywa; basi yatakuwa maji yakutoka chooni.

Rasimu ya katiba imeratibiwa na Tume aliyoiteua raisi ambaye ni mwenyekiti wa CCM. Wengi hatukuwa na imani na tume ile pale mwanzo, lakini matokeo yake wengi tumeyapenda kuwa ni mwanzo mzuri kwenda kupata katiba bora kwa watanzania wote.

Cha kusikitisha zaidi viongozi aina ya kina bulembo ndio waratibu wa rasilimali za taifa kwa niaba yetu.

UHAI WA TAIFA LETU NA WATU WAKE UPO HATARINI
 
"Tatizo akili ndogo inaongoza akili kubwa". Mimi napita tu!
 
MCHAKATO WA KATIBA HAUPASWI KUBEBWA NA VYAMA VYA SIASA NI #"TUME" PEKEE YENYE MAMLAKA YA KUHOJI WATANZANIA NI KATIBA GANI WAITAKAYO IWE YA NAMNA GANI ILI IWEZE KUKIDHI MAHITAJI YA TANZANIA KWA MIAKO 5O IJAYO,bulembo it may be ignorant,nonsensible man,WHY WANATAKA KUVUNJA HESHIMA YA MZEE WETU J S WARIOBA eti sababu ameplay ktk THE MATTER THAT REAL PEOPLE OF TANZANIA WANT,"wakome j s warioba amesimama ktk uadilifu uliotukuka sio hawa wakina butiku ambao waliaminiwa na waliuwa viwanda vyote"WE MUST STAND INTO REALITY,TRUTHY AND TRANSPARENCY FOR THE GOOD FUTURE OF OUR NATIONS AND GRANDSONS" GOD BLESS TANZANIA
 
Hahaha hahaha hahaha hahaha[/ KINSASHA... MAKAMBO NALELIEEEE.....EEE hii swaga safi,bulembo is a nutty may be,anamkebei (JAJI) CCM IANGALIE HAYA MAVIJANA YAKE YASIO NA ADABU WALA HESHIMA,"utendaji bora kwa ccm hii ni dhambi ina maana inchi hii imefikia hapa!"
 
Back
Top Bottom