Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Watu wote walioko ccm wana akili fupi,unapomtukana/kumdharau Jaji Joseph Warioba.....jua unamdharau aliyemteua yaan Ndg Kikwete.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Abdallah Bulembo amemshambulia kwa maneno makali Mkiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba.
Akihutubia mkutano wa CCM Tanga Bulembo amesema Warioba hana haki wala mamlaka ya kuwasemea Watanzania kuhusu Katiba mpya.
Bulembo ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu CCM amesema Warioba anapaswa kukaa mbali na kuwaamulia Watanzania Katiba aitakayo yeye.
Huku akisisitiza kupinga kinachofanywa na Warioba aliwauliza wananchi kwa msisitizo..'Kwani Warioba ni Nani?' ....
Itakumbukwa Abdalla Bulembo alishindwa vibaya kwenye uchaguzi wa udiwani 2010 na mgombea wa CHADEMA.
Source:ITV
Source ?????????????
...
......zunguka!! zunguka!! zunguka!!!
..
....ha ha ha ha ha
......umri si maarifa...umri ni ubongo kufanya kazi...
....mabolembo!!! makambo!!! makambo!! makambo kweli kweli......
pia inakumbukwa sana mbowe na slaa walishindwa vibaya sana katika uchaguzi wa uraisi tanzania na wagombea wa ccm, na ni tunawaona kila siku wakihutubia na kukosowa wenzao. When they were never given the mandate to lead by tanzanians and yet they have loud mouths and we call that democracy. Ccm public they know the word tolerance unlike cdm.
&$@$&$&$$&@$$&@&$ zenu ww na mabwana zako. Utatumika mpaka uzeeni km tambara bovu#*******.zenu magamba
yani huyu bulembo hata jinsi anavyoongea inaonyesha ana ufinyu wa fikra, jaji warioba naye ni mtanzania ana kila sababu ya kutoa maoni yake nje ya kofia yake ya mk wa tume ya katiba mpya. Haya na wewe bulembo unaemkataza warioba hasiwasemee wananch kwan wewe ni nan katka nch hii, afadhal na warioba ambaye alikwisha wah kuwa pm wa nch haya wewe ushawah kuwa nan? Kama umeishwa sera kaa kimya mwache warioba afanye kaz yake
Wewe ndio una viakili vichache sana. Kwa hiyo kwa ujinga wako huu tuwalaumu wazazi wako au ww kwa uzembe wako wa kufikiriWatu wote walioko ccm wana akili fupi,unapomtukana/kumdharau Jaji Joseph Warioba.....jua unamdharau aliyemteua yaan Ndg Kikwete.
&$@$&$&$$&@$$&@&$ zenu ww na mabwana zako. Utatumika mpaka uzeeni km tambara bovu
huyo jamaa ni std 7 hayo maneno analishwa na mpambe wake mbeba box alie lost le mutuz na ndo anazunguka naye mikoani,ukisoma post za william malecela kuhusu Warioba na maneno ya Bulembo leo ni copy n paste
Hahaha hahaha hahaha hahaha[/ KINSASHA... MAKAMBO NALELIEEEE.....EEE hii swaga safi,bulembo is a nutty may be,anamkebei (JAJI) CCM IANGALIE HAYA MAVIJANA YAKE YASIO NA ADABU WALA HESHIMA,"utendaji bora kwa ccm hii ni dhambi ina maana inchi hii imefikia hapa!"