Waziri wa Nchini Ofisini ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mtaa kwa mwaka 2024
Uandikishaji wa Wapiga Kura
Zoezi lolifanyika Octoba 11 mpaka 20, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura Milioni 31,282,331 walijiandikisha, baada ya mapingamizi wananchi waliojiandikisha walikuwa Milioni 31,255,303
Kupiga Kura
Wananchi waliopiga kura Novemba 27, 2024 walikuwa milioni 26,963,182 ambayo ni sawa na 86.36% ya wananchi waliokuwa na sifa ya kupiga kura.
Soma Pia:
Katika nafasi ya Mwenyeviti wa serikali za mtaa Katika maeneo yalifanya uchaguzi wa serikal za mtaa 27 Novemba, 2024 ilikuwa ni 4264 kati ya nafasi 4264 zilizopaswa kufanya uchaguzi
Kati ya nafasi hizo CCM imeshinda nafasi 4213 za wenyeviti wa mtaa sawa na 98%.83 huku CHADEMA nafasi 36 sawa na 0%.84 ACT Wazalendo imeshinda nafasi 9 sawa na 0%.21, CUF imeshinda nafasi 4 sawa 0%.09 na CHAUMA imeshinda nafasi 1 sawa na 0%.02.