Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajua unaandika kwa kujikaza na kujizima data.uchaguzi ni mchakato endelevu ambao muhisika hatakuwi kumessup hata hatua moja...
haya ni matokeo ya uvuguvugu na mawenge ya upinzani, hususani chadema tangu uandikishaji 🐒
😂😂😂 yaani watu wamekuwa misukuleWaziri wa Nchini Ofisini ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mtaa kwa mwaka 2024
Uandikishaji wa Wapiga Kura
Zoezi lolifanyika Octoba 11 mpaka 20, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura Milioni 31,282,331 walijiandikisha, baada ya mapingamizi wananchi waliojiandikisha walikuwa Milioni 31,255,303
Kupiga Kura
Wananchi waliopiga kura Novemba 27, 2024 walikuwa milioni 26,963,182 ambayo ni sawa na 86.36% ya wananchi waliokuwa na sifa ya kupiga kura.
Soma Pia:
- Matokeo ya Jumla Uchaguzi Serikali za Mitaa kutangazwa
- Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Katika nafasi ya Mwenyeviti wa serikali za mtaa Katika maeneo yalifanya uchaguzi wa serikal za mtaa 27 Novemba, 2024 ilikuwa ni 4264 kati ya nafasi 4264 zilizopaswa kufanya uchaguzi
Kati ya nafasi hizo CCM imeshinda nafasi 4213 za wenyeviti wa mtaa sawa na 98%.83 huku CHADEMA nafasi 36 sawa na 0%.84 ACT Wazalendo imeshinda nafasi 9 sawa na 0%.21, CUF imeshinda nafasi 4 sawa 0%.09 na CHAUMA imeshinda nafasi 1 sawa na 0%.02.
Futuhiiiiiiiiii ndiyo ni FUTUHI.Waziri wa Nchini Ofisini ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mtaa kwa mwaka 2024
Uandikishaji wa Wapiga Kura
Zoezi lolifanyika Octoba 11 mpaka 20, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura Milioni 31,282,331 walijiandikisha, baada ya mapingamizi wananchi waliojiandikisha walikuwa Milioni 31,255,303
Kupiga Kura
Wananchi waliopiga kura Novemba 27, 2024 walikuwa milioni 26,963,182 ambayo ni sawa na 86.36% ya wananchi waliokuwa na sifa ya kupiga kura.
Soma Pia:
- Matokeo ya Jumla Uchaguzi Serikali za Mitaa kutangazwa
- Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Katika nafasi ya Mwenyeviti wa serikali za mtaa Katika maeneo yalifanya uchaguzi wa serikal za mtaa 27 Novemba, 2024 ilikuwa ni 4264 kati ya nafasi 4264 zilizopaswa kufanya uchaguzi
Kati ya nafasi hizo CCM imeshinda nafasi 4213 za wenyeviti wa mtaa sawa na 98%.83 huku CHADEMA nafasi 36 sawa na 0%.84 ACT Wazalendo imeshinda nafasi 9 sawa na 0%.21, CUF imeshinda nafasi 4 sawa 0%.09 na CHAUMA imeshinda nafasi 1 sawa na 0%.02.
Kwa kifupi hakuna hata shilingi moja inayopotea labda tu kama hauko kwenye mkondo wa kupata hiyo hela, sema madhumuni ya huo uchaguzi ndio shida.Kutokana na huo uchaguzi uchumi kwa wafanyakazi na wafanyabiashara uchangamka kwa kiwango kikubwa hiyo nayo ni faida kwa serikali kwa wananchi wake ila uchaguzi mkuu hiyo ni hasara tupu sijui mnufaika wa hayo mabilioni huwa ni mchina??Mimi huwa sielewi kwanini tunapoteza mabilioni ku organise uchaguzi wakati tumeshaamua nani ashinde. Ni vizuri hata mwakani tuambiwe tu uchaguzi wa ndani wa CCM ukiisha basi ndio huyo huyo awe mbunge na Rais kuliko hizi hasara na mabilion yanayoteketezwa.
Mama Samia alianza vizuri sijui shida gani imempata naye anarudia yale yale aliyokosoa kuhusu chaguzi za 2019 na 2020. Sijui lini akili ya mtu mweusi itabadilika
Hii kitu inaongeza madalali wa viwanja na matapeli wa ardhiMimi huwa sielewi kwanini tunapoteza mabilioni ku organise uchaguzi wakati tumeshaamua nani ashinde. Ni vizuri hata mwakani tuambiwe tu uchaguzi wa ndani wa CCM ukiisha basi ndio huyo huyo awe mbunge na Rais kuliko hizi hasara na mabilion yanayoteketezwa.
Mama Samia alianza vizuri sijui shida gani imempata naye anarudia yale yale aliyokosoa kuhusu chaguzi za 2019 na 2020. Sijui lini akili ya mtu mweusi itabadilika
Wanapigwa Pini za kutosha mpaka wanaita maji mmauchaguzi ni mchakato endelevu ambao muhisika hatakuwi kumessup hata hatua moja...
haya ni matokeo ya uvuguvugu na mawenge ya upinzani, hususani chadema tangu uandikishaji 🐒
Gentleman only one side but ccm rudehakuna muda huo,
kazi muhimu iliyopo mbele ni kuwatumikia wanainchi wote kwa ujumla na si vinginevyo gentleman 🐒
uchaguzi ni mchakato endelevu ambao muhisika hatakuwi kumessup hata hatua moja...
haya ni matokeo ya uvuguvugu na mawenge ya upinzani, hususani chadema tangu uandikishaji 🐒
Ebu fikiria hili!Waziri wa Nchini Ofisini ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mtaa kwa mwaka 2024
Kati ya nafasi hizo CCM imeshinda nafasi 4213 za wenyeviti wa mtaa sawa na 98%.83 huku CHADEMA nafasi 36 sawa na 0%.84 ACT Wazalendo imeshinda nafasi 9 sawa na 0%.21, CUF imeshinda nafasi 4 sawa 0%.09 na CHAUMA imeshinda nafasi 1 sawa na 0%.02
elezea kwa ufupi kwa faida ya wadau,
CCM is the one, and only the architecture of the development in this beautiful republic of Tanzania, and not otherwise..Gentleman only one side but ccm rude