LGE2024 CCM yashinda 98.83% Wenyeviti Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Niwalaumu Mazezeta wenzangu, huu ujinga hautaisha as long as still bado sisi ni mazezeta ni tukingoja Mbowe ndio atusaidie
 
uchaguzi ni mchakato endelevu ambao muhisika hatakuwi kumessup hata hatua moja...

haya ni matokeo ya uvuguvugu na mawenge ya upinzani, hususani chadema tangu uandikishaji 🐒
Shangilia ushidi.
 
Hii nchi vijana tusipo amka na kudai nchi yetu iliyopokwa na wanasiasa

Tutakuja kuuzwa sisi na vizazi vyetu

Kama unafanya madudu utaiba chaguzi

Kama unafanya vizuri unaupiga mwingi Kama tunavyoaminishwa hauwezi kuiba chaguzi ndogo hizi!!!

Siasa alipozifikisha Samia ni sehemu hatari Sana

Solution iliyobaki vijana ni kuingia barabarani bila kuwa kwenye mgongo wowote wa wanasiasa

Tudai Taifa la uwajibikaji na Taifa la kizazi Cha kusema ukweli hata Kama inauma.

CCM ni janga la Taifa!!
 
Mtu wa maana kabsa 😅😅ukute Tz ni channel ya vichekesho
 
Kwa sasa maadui wa democrasia yetu ni CCM, polisi na walimu
 
Huu ujinga hauwezi isha hivi karibuni, hawa jamaa sio wajinga narudia tena, CCM na Serikali sio wajinga kabisa wa ajua fika wanatwala au kuomgoza aina gani ya watu. Yaani aina ya watu wanao waongoza ndio yana reflect haya mambo.

Jana tu kulikuwa na au uchaguzi ila ulikuwa ukipita vijiweni asilimia 99 ya stories ni Yanga na Simba, haya yanawapa nguvu za ziada hawa watawala.

So CCM na Serikali sio wajinga, wanajua fika wanacho kifanya na wanajua fika wana aina ipi ya watawaliwa
 
Reference ya matokeo ya uchaguzi wa mwakani imeshapatikana, & they don't care.
 
Kwa Nini tunatumia billions of money kufanya uchaguzi ambao mshindi anajulikana?... Kwa wasiojua .."Mchakato mzima wa uchaguzi serikali za mitaa gharama yake...Tunaweza kujenga hospital kama Ile ya India (Apollo) na tukaepusha watu wetu Kila siku kuenda India kutibiwa"
 
Anajulikama yes ila wao Serikali sio wajinga,wanajua wanatawala aina ipo ya watu, wanajua wanatawala maiti ambazo kutwa nzima ni mada za Yanga na simba wakipumzika wanahamia EPL.

Taifa lina kiwango cha obove avarage ya kiwango cha ujinga
 
Taifa letu tatizo limejaa watu wajinga

Kibaya zaidi wale wajinga zaidi ndio viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…