LGE2024 CCM yashinda 98.83% Wenyeviti Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
uchaguzi ni mchakato endelevu ambao muhisika hatakuwi kumessup hata hatua moja...

haya ni matokeo ya uvuguvugu na mawenge ya upinzani, hususani chadema tangu uandikishaji πŸ’
Tunajua unaandika kwa kujikaza na kujizima data.
Njaa mbaya Sana kijana.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza matokeo ya jumla ya serikali za mtaa, ambapo katika nafasi ya Mwenyekiti wa kijiji katika vijiji 12,271 Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kupata nafasi 12,150 sawa na asilimia 99.01 huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikipata jumla ya viti 97 sawa na asilimia 0.79 ACT Wazalendo imeshinda nafasi 11 sawa na asilimia 0.09, CUF imeshinda nafasi 10 sawa na asilimia 0.08.

NCCR Mageuzi imeshinda nafasi 1 sawa na asilimia 0.01, UMD imeshinda nafasi 1 sawa na asilimia 0.01 na ADC imeshinda nafasi 1 sawa na asilimia 0.01
 
Mods rekwbisheni heading isomeke CCM yashinda na muongeze wenyeviti wa vijiji.
 
Hongera sana CCM kwa ushindi mzito.

Wale wa kulia machozi baada ya kila uchaguzi sasa uwanja ni wenu.

CCM inaanza maandalizi ya mgombea wa urais na wabunge.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani watu wamekuwa misukule
 
Futuhiiiiiiiiii ndiyo ni FUTUHI.
 
Kwa kifupi hakuna hata shilingi moja inayopotea labda tu kama hauko kwenye mkondo wa kupata hiyo hela, sema madhumuni ya huo uchaguzi ndio shida.Kutokana na huo uchaguzi uchumi kwa wafanyakazi na wafanyabiashara uchangamka kwa kiwango kikubwa hiyo nayo ni faida kwa serikali kwa wananchi wake ila uchaguzi mkuu hiyo ni hasara tupu sijui mnufaika wa hayo mabilioni huwa ni mchina??
 
Hii kitu inaongeza madalali wa viwanja na matapeli wa ardhi
 
uchaguzi ni mchakato endelevu ambao muhisika hatakuwi kumessup hata hatua moja...

haya ni matokeo ya uvuguvugu na mawenge ya upinzani, hususani chadema tangu uandikishaji πŸ’
Wanapigwa Pini za kutosha mpaka wanaita maji mma
 
Ebu fikiria hili!
Waziri wa ccm... mkwe wa SSH... wizara yake ndo imepewa dhamana ya kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchi nzima!
Huu uchafuzi si bahati mbaya. Ni matokeo ya wendawazimu na kejeli za wazi!
Kufuatacho mkwe atapewa pongezi na kunyanyuliwa zaidi!
 
Gentleman only one side but ccm rude
CCM is the one, and only the architecture of the development in this beautiful republic of Tanzania, and not otherwise..

so,
relax gentleman πŸ’
 
Unategemea mshangazi upambane kupata kura halali thubuuutu. Dawa chungu ila ya ukweli ni kuingia front kupambania heshima iliyopotozwa na ssm na adui mkubwa ni polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…