LGE2024 CCM yashinda 98.83% Wenyeviti Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kosa lilifanyika kuweka vyama vingi ili kuridhisha mabeberu. Wangetuachaga na CCM hadi wenyewe tuone sababu ya kuwa na vyama vingi. Bado watu wengi wanaamini upinzani utaleta vita
 
Kosa lilifanyika kuweka vyama vingi ili kuridhisha mabeberu. Wangetuachaga na CCM hadi wenyewe tuone sababu ya kuwa na vyama vingi. Bado watu wengi wanaamini upinzani utaleta vita
Sio swala la wao kuleta vita Bali Huwa hawana sera,nikuulize umewahi sikia sera ya Chadema kwenye jambo lolote zaidi ya kulalamika,kubeza kukosoa ccm?

Kwa mfano zama hizi huwezi ambia watu kwamba eti CCM haijafanyia kitu, unaonekana mpumbavu au Mpinzani unadai eti Fulani hana Mke ,wewe zinakutosha?

Lazima Wapinzani wawe na watu makini zaidi ya ccm ndio watashinda na bahati mbaya hawana maana karibu nusu ya wagombea Wapinzani walikosea watu ,ccm ilikuwa inasubiria kuongeza ushindi sio kutafuta ushindi.
 
Chadema imeshinda nafasi 36 na vifo 3 huku CCM ikishinda nafasi 4213 bila vifo! Uchaguzi ulikuwa wa amani kwani hakuna binaadamu aliyekufa isipokuwa hao wanachadema 3.
 
Mkaza mwana, nikukumbushe.
Wizi WA kura, ni laana na ukienda India , hutarudi.
 
 
We ndio mpumbavu unataka sera Gani zaidi ya wizi wa ccm unataka msiambiwe mjinga wewe sijui kwanini ccm imejaa mazuzu aina Yako
 
Kwani kulikuwa na uchaguzi au uchafuzi? Kungekuwa na uchaguzi Chadema wangeshinda sana tu kwa hali ilivyo. Maana, chawa huwa hawapigi kura.
Kipi ambacho hakikuwepo huko kwenu?

Unadhani matukio 5 tuliyoona kwenye media ndio yanaweza batilisha uchaguzi?

Wewe hukusikia nusu ya maeneo Wapinzani wakikosa watu?

Hukusikia Wapinzani wamekatwa Kwa Kushindwa Kufuata taratibu za uchaguzi hata baada ya rufaa walishindwa?

Hukusikia Wapinzani wamekosa mawakala?

Wakati wa kujiandikisha ccm inahimiza na kutafuta Wafuasi wao Chadema na Wapinzani eti wanamlaumu Serikali kutohimiza watu kujiandikisha wakati wao mitandaoni Kuandika ujinga?

Wapinzani akili hamna na mbaya zaidi hawakujiandaa wakidhani eti Watanzania wanaichukia CCM,thubutu.

On top of that waliweka wagombea dhaifu wasioweza kushindana na CCM.
 
We ndio mpumbavu unataka sera Gani zaidi ya wizi wa ccm unataka msiambiwe mjinga wewe sijui kwanini ccm imejaa mazuzu aina Yako
Ni jibu swali,sera zipi unazozijua za Wapinzani au hata ilani ya Chadema hapo mtaani kwako unaijua? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Wizi ni kichaka Cha kujifichia udhaifu,kadanganyeni wajinga wenzenu,mumekosa wagombea nusu Nchi nzima harafu unataka mshinde? Mumekosa mawakala harafu unataka mushinde?

Upunguani.
 
Kura hizo ni feki, kila mahali ccm wameingiza kura bandia. CCM hawajahi kushinda tangu vyama vingi vilipoanzishwa.
 
Upinzani bwana Kuna muda najiuliza hivi wanatumiaga akili zipi kufikilia? Kweli utegemee ushindi kwenye uchaguzi unaoandaliwa na CCM na kusimamia na CCM dhidi ya CCM ?? Hawa akina mchengelwa wakupe uchaguzi huru na wa haki dhidi ya chama Chao?? Ndio maana Mimi naona kwenda kupiga kura ni ujinga tu na kupoteza muda bure Bure kbs.Matokeo yalishaandaliwa kitambo kitambooo!! Angalau mtu aliekuwa na hofu ya mungu ni kikwete peke yake Toka nchi hii iumbwe.
 
Huyu ni mhaini na damu zilizomwagwa katika mchakato mzima huu zitakuwa juu ya kichwa chake.
 
Matokeo ya Marekani watu million 200 yanatangazwa ndani ya saa 1 baada ya zoezi la upigaji kura kukamilika

Tanzania vitongoji masaa 24 baada ya upigaji kura kukamilika we are not serious!!!

Usiku sasahivi ndio mnatangaza matokeo nyie wachawi?

Masaa 24 na bado hayaeleweki. Kifupi akili ndogo zinatenda kwa akili zao!
 
Sera ni wizi na mauaji mnayofanya Kwa hili taifa jinga wewe hiyo ndio sera kuu unataka sera
 
Kuna haja ya kuwa na chaguzi 2025? Maana kila mwaka ni yale yale , hakuna afadhali.
Mbali na uchaguzi, vijana wa Tz wana zingua sana, wengi hawapigi kura, madai yao hata tukipiga bado ccm itaiba kura na itashinda, tufanyeje hapa ili vijana waha masike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…