Azizi J Hamad
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 442
- 230
Leta uthibitisho hapa wa hao walikosea kujaza fomu, usituletee porojo zako.Nani asiyejua kama wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais mpaka udiwani walikosea kujaza fomu!!! Kwa sababu ya njaa zenu hata aibu hamna! Wanyonyaji wa kwanza tz ni CCM, ndiyo maana hamtaki kutoka madarakani mnawaza mtakula nini?
Just imagine upinzani unashinda urais hawa CCM jobless walojazana tz wataishi vipi? Watoto wao watasomaje?
Unaposema CCM wanyonyaji unamaanisha nini?? Unaelewa maana ya unyonyaji wewe??