Uchaguzi 2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana na mambo mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu. Katibu mkuu alijibu kuwa si swala la mbinu kwenye kufanya wagombea wa chama hicho kutoenguliwa na Tume bali ni swala la kufata sheria na kanuni.

Dkt. Bashiru alisema kwa upande wa CCM vitengo vya sheria vinavyosimamia na kuruhusu wagombea wa ngazi zote kujaza fomu na kisha kuhakikiwa na hali hiyo imefanya wagombea wa Ubunge 28 wa CCM wapite bila kupingwa na wanasubiri kuapishwa.
Hata yule mgombea wa Karatu naye hakukosea?Mgombea wa CCM Karatu hakuhitimu hata Shule ya Msingi,alisaidiwa na nani kujaza fomu?
 
Watoe na siri ya mwakala wa upinzani kutoapishwa.
 
Mkuu, wamekosea nini?
Alipigwa ban huyo majuzi hapa... Wamemwachia tu,

Afu wakuu kuna kitu nmekua nikikifatilia na nmejiuliza sana, Kwenye hii thread hawa wanaoisifia NEC & CCM kua ndio wanajua kujaza form na Chadema hawajui, mbona wengi wamejoin siku 1 kati ya tar 20-21 September.? Lucy Joseph, Azizi J Hamad, Tunutu Maharajy, Ney Aziz, JuliethMliwa hizi IDs zina walakini em fatilieni nanyie mjionee ni kama zinamilikiwa na mtu mmoja au ni ka kikundi flani hivi...
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana na mambo mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu. Katibu mkuu alijibu kuwa si swala la mbinu kwenye kufanya wagombea wa chama hicho kutoenguliwa na Tume bali ni swala la kufata sheria na kanuni.

Dkt. Bashiru alisema kwa upande wa CCM vitengo vya sheria vinavyosimamia na kuruhusu wagombea wa ngazi zote kujaza fomu na kisha kuhakikiwa na hali hiyo imefanya wagombea wa Ubunge 28 wa CCM wapite bila kupingwa na wanasubiri kuapishwa.
Tafadhali tutajie basi hayo majina 28 ya wabunge wanao subiri kuapishwa.
 
Upuuzi mtupu.

Kwanini hawi mkweli kwa kusema kuwa wao CCM wanabebwa na mbekeko ya Tume ya Uchaguzi?
Nikiwasikia hawa watu wanaongea roho yangu inachafukwa kweli kweli,hasa yule mkubwa wao
 
Nani asiyejua kama wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais mpaka udiwani walikosea kujaza fomu!!! Kwa sababu ya njaa zenu hata aibu hamna! Wanyonyaji wa kwanza tz ni CCM, ndiyo maana hamtaki kutoka madarakani mnawaza mtakula nini?
Just imagine upinzani unashinda urais hawa CCM jobless walojazana tz wataishi vipi? Watoto wao watasomaje?
Wagombea wa CCM walipikwa wakaiva wewe unaamka unasema walikosea kujaza fomu unauhakika. Leta ushahidi hapa.
 
Tafadhali tutajie basi hayo majina 28 ya wabunge wanao subiri kuapishwa.

WhatsApp Image 2020-10-22 at 09.21.31.jpeg
 
Nani asiyejua kama wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais mpaka udiwani walikosea kujaza fomu!!! Kwa sababu ya njaa zenu hata aibu hamna! Wanyonyaji wa kwanza tz ni CCM, ndiyo maana hamtaki kutoka madarakani mnawaza mtakula nini?
Just imagine upinzani unashinda urais hawa CCM jobless walojazana tz wataishi vipi? Watoto wao watasomaje?
muda mwingine tunalaumu tu CCM ,
CCM iliandaa mawakili zaidi ya mia moja kwaajili ya kuwasaidia wagombea wao kujaza fomu zao
vyama vingine waliweka utaratibu gani katika vyama vyao na wagombea wao?
ni akili ya kawaida mbona
 
Si kweli tume ni yenu, na haiwezi thubutu hata kukiwa na mapungufu!
Sheria na kanuni zipo kuwashikisha adabu upinzani!
Hayo ni maono yako binafsi.chamuhimu ni kufata sheria na kanuni na ndicho kilochofanywa na Ccm Ila wapinzani ni tofauti sasa ulitaka waachwe
 
Back
Top Bottom