Uchaguzi 2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

Uchaguzi 2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

Nani asiyejua kama wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais mpaka udiwani walikosea kujaza fomu!!! Kwa sababu ya njaa zenu hata aibu hamna! Wanyonyaji wa kwanza tz ni CCM, ndiyo maana hamtaki kutoka madarakani mnawaza mtakula nini?
Just imagine upinzani unashinda urais hawa CCM jobless walojazana tz wataishi vipi? Watoto wao watasomaje?
Tatizo nyie shule ndogo mnachagua watu wawe wagombea hata kusoma awajui CCM Ina hadhina kubwa ya viongozi na inatengeneza viongozi atuokoti tu maana hapa Hadi mawakala wenu shule zeroo. Wenyewe mnalaumiana.
IMG-20201021-WA0207.jpg
 
Nani asiyejua kama wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais mpaka udiwani walikosea kujaza fomu!!! Kwa sababu ya njaa zenu hata aibu hamna! Wanyonyaji wa kwanza tz ni CCM, ndiyo maana hamtaki kutoka madarakani mnawaza mtakula nini?
Just imagine upinzani unashinda urais hawa CCM jobless walojazana tz wataishi vipi? Watoto wao watasomaje?
Uhalifu utaongezeka!
 
Akina Kinana, Makamba nao waliwahi kutamka hivyo lkn leo waliko hatujui - tuifanye nchi kuwa ya watanzania
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana na mambo mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu. Katibu mkuu alijibu kuwa si swala la mbinu kwenye kufanya wagombea wa chama hicho kutoenguliwa na Tume bali ni swala la kufata sheria na kanuni.

Dkt. Bashiru alisema kwa upande wa CCM vitengo vya sheria vinavyosimamia na kuruhusu wagombea wa ngazi zote kujaza fomu na kisha kuhakikiwa na hali hiyo imefanya wagombea wa Ubunge 28 wa CCM wapite bila kupingwa na wanasubiri kuapishwa.
Nani asiyejua kuwa NEC ni taasisi ya Ccm na imeteuliwa na Magufuli? Nani asiyejua kuwa wote walioenguliwa hawakuenguliwa kwa kukosea kujaza fomu?
 
Back
Top Bottom