Azizi J Hamad
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 442
- 230
Leta uthibitisho hapa wa hao walikosea kujaza fomu, usituletee porojo zako.Nani asiyejua kama wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais mpaka udiwani walikosea kujaza fomu!!! Kwa sababu ya njaa zenu hata aibu hamna! Wanyonyaji wa kwanza tz ni CCM, ndiyo maana hamtaki kutoka madarakani mnawaza mtakula nini?
Just imagine upinzani unashinda urais hawa CCM jobless walojazana tz wataishi vipi? Watoto wao watasomaje?
Useless CCM; tangu lini katika nchi gani yenye demokrasia Tume ya Taifa ya Uchaguzi huwekea wagombea mapingamizi?Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana na mambo mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu. Katibu mkuu alijibu kuwa si swala la mbinu kwenye kufanya wagombea wa chama hicho kutoenguliwa na Tume bali ni swala la kufata sheria na kanuni.
Dkt. Bashiru alisema kwa upande wa CCM vitengo vya sheria vinavyosimamia na kuruhusu wagombea wa ngazi zote kujaza fomu na kisha kuhakikiwa na hali hiyo imefanya wagombea wa Ubunge 28 wa CCM wapite bila kupingwa na wanasubiri kuapishwa.
Si kweli tume ni yenu, na haiwezi thubutu hata kukiwa na mapungufu!Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana na mambo mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu. Katibu mkuu alijibu kuwa si swala la mbinu kwenye kufanya wagombea wa chama hicho kutoenguliwa na Tume bali ni swala la kufata sheria na kanuni.
Dkt. Bashiru alisema kwa upande wa CCM vitengo vya sheria vinavyosimamia na kuruhusu wagombea wa ngazi zote kujaza fomu na kisha kuhakikiwa na hali hiyo imefanya wagombea wa Ubunge 28 wa CCM wapite bila kupingwa na wanasubiri kuapishwa.
Na haitokuja kutokea maana mpaka sasa ulipanzi hauko strong ,wenyew kwa wenyew wanagombana[emoji23][emoji23]Nani asiyejua kama wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais mpaka udiwani walikosea kujaza fomu!!! Kwa sababu ya njaa zenu hata aibu hamna! Wanyonyaji wa kwanza tz ni CCM, ndiyo maana hamtaki kutoka madarakani mnawaza mtakula nini?
Just imagine upinzani unashinda urais hawa CCM jobless walojazana tz wataishi vipi? Watoto wao watasomaje?
Wagombea wa Ccm watapigiwa kura na
Si kweli,chama cha Mapinduzi kina utaratibu mzuri sana wa kutoa maelekezo kwa wagombea wake na viongozi huwa wanazikaugua kabla hazija wasilishwa sehemu husika...Lakini Upinzani hata ofisi hawana kila mmoja anafanya lake ..Nani asiyejua kama wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais mpaka udiwani walikosea kujaza fomu!!! Kwa sababu ya njaa zenu hata aibu hamna! Wanyonyaji wa kwanza tz ni CCM, ndiyo maana hamtaki kutoka madarakani mnawaza mtakula nini?
Just imagine upinzani unashinda urais hawa CCM jobless walojazana tz wataishi vipi? Watoto wao watasomaje?
Hakuna anaebebwa kama makosa mmeyafanya nyie kwa stress zenu mnafanya mambo kwa papara, CCM ina uhakika itashinda kutokana na kazi nzuri ilofanya na kwakuwa wanasera pamoja na ilani iliyoshiba.Upuuzi mtupu.
Kwanini hawi mkweli kwa kusema kuwa wao CCM wanabebwa na mbekeko ya Tume ya Uchaguzi?
Hakuna kitu ni siasa za maji taka tu ipo siku hatokuwa na nguvu aliyonayo na V8 yakeChama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana na mambo mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu. Katibu mkuu alijibu kuwa si swala la mbinu kwenye kufanya wagombea wa chama hicho kutoenguliwa na Tume bali ni swala la kufata sheria na kanuni.
Dkt. Bashiru alisema kwa upande wa CCM vitengo vya sheria vinavyosimamia na kuruhusu wagombea wa ngazi zote kujaza fomu na kisha kuhakikiwa na hali hiyo imefanya wagombea wa Ubunge 28 wa CCM wapite bila kupingwa na wanasubiri kuapishwa.
Nipo, nilikuwa likizo fupi ya maandalizi ya final blows.Leo ma NGULI wenzangu the legendaries wamekula ban BAK na Pascal Mayalla a.k.a the laywer and linguist
CCM msinisababishie ban
One loveNipo, nilikuwa likizo fupi ya maandalizi ya final blows.
Nimerejea na mabandiko yatapandana.
P
Hii nec ya jpm ni hovyo sana kuliko ya jk, yaani tume inamwengua mgombea kwa kigezo cha kukosea kujaza fomu, ni aibu sana.ccm muda wote wako busy kushirikiana na vyombo vya dola namna ya kuiba kura kwenye vituo kwa kushawishi mawakala wa ccm watumbukize kura nyingi kwenye masanduku ya kura.NEC kuweni makini,Chadema wamesha ona kipigo kizito ndani ya sanduku la kura wanatafuta mtu wa kumrushia Lawama msipoangalia wanaweza susia uchaguzi dakika yoyote kutoka sasa ili Lawama ziwe juu yenu.
Usidanganywe.. ccm wanabebwa na tumeSi kweli,chama cha Mapinduzi kina utaratibu mzuri sana wa kutoa maelekezo kwa wagombea wake na viongozi huwa wanazikaugua kabla hazija wasilishwa sehemu husika...Lakini Upinzani hata ofisi hawana kila mmoja anafanya lake ..
Aisee bora Umesema kuwa ni imagnation ushindani kushindaNani asiyejua kama wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais mpaka udiwani walikosea kujaza fomu!!! Kwa sababu ya njaa zenu hata aibu hamna! Wanyonyaji wa kwanza tz ni CCM, ndiyo maana hamtaki kutoka madarakani mnawaza mtakula nini?
Just imagine upinzani unashinda urais hawa CCM jobless walojazana tz wataishi vipi? Watoto wao watasomaje?
Mbona huyo Pascal Mayalla hana ban au umekosea?Leo ma NGULI wenzangu the legendaries wamekula ban BAK na Pascal Mayalla a.k.a the laywer and linguist
CCM msinisababishie ban
Kama mh. Pombe pamoja na kumiliki PhD, fomu yake ilikuwa na makosa kibao, itakuwa hao vilaza wengine? Wamebebwa tu kwa kuwa tume ni yao.Dkt. Bashiru alisema kwa upande wa CCM vitengo vya sheria vinavyosimamia na kuruhusu wagombea wa ngazi zote kujaza fomu na kisha kuhakikiwa na hali hiyo imefanya wagombea wa Ubunge 28 wa CCM wapite bila kupingwa