Uchaguzi 2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

Tatizo nyie shule ndogo mnachagua watu wawe wagombea hata kusoma awajui CCM Ina hadhina kubwa ya viongozi na inatengeneza viongozi atuokoti tu maana hapa Hadi mawakala wenu shule zeroo. Wenyewe mnalaumiana.
 
Uhalifu utaongezeka!
 
Akina Kinana, Makamba nao waliwahi kutamka hivyo lkn leo waliko hatujui - tuifanye nchi kuwa ya watanzania
 
Nani asiyejua kuwa NEC ni taasisi ya Ccm na imeteuliwa na Magufuli? Nani asiyejua kuwa wote walioenguliwa hawakuenguliwa kwa kukosea kujaza fomu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…