CCM yatangaza kuachana na siasa za kibabe na kurudi kwenye siasa zake za asili za Upendo na Urafiki mwema!

SHIDA nikwamba upinzani ili waone wametendewa haki wao wanajuwa kuwa lazima washinde hata kama hawana ushawishi kwa raia
 
Kutojiingiza katika siasa za kibabe ni pamoja na kukubali kuanzisha TUME HURU YA UCHAGUZI, na kuondoa Sheria kandamizi za uchaguzi!

Wasipofanya hayo ni sawa na kumpigia Mbuzi gitaa ili akate kiuno kitu kischowezekana kabisa!
Tume huru ni jukumu la serikali siyo CCM!
 
Kuna eneo LA ubabe kwenye kusajili NGO na vyama vipya vya siasa

Ziko NGO zina miaka hazijasajiliwa sababu sijui ubabe au kutaka rushwa .Vigezo vyote wanavyo lakini utashangaa NGO ya mfukoni inapewa usajili genuine haipewi!!!

Mama Samia Kitebgo cha usajili Wa NGO Luna maneno pale

Pia kuna maneno kwenye kusajili vyama vipya vya siasa

Hayo maeneo mawili mmmmmmm

Ukitaka waulize NGO lukuki mbona hawawapi usajili ? Kulikoni

Ukitaka itisha kikao na wote walioomba usajili Wa NGO zao wamwage mboga

Maeneo korofi mojawapo ni kwenye usajili Wa NGO na vyama vya siasa na kitengo cha Passport na kutoa vibali vya kazi kwa wawekezaji wageni .kuna ubabe huko acha tu
 
Mbona hata CHADEMA walkuwa wababe, wakakutana na mbabe, wakaishiwa ubabe. Sahizi nawasikia wameanza tena kelele. Kale kadada ka Dodoma kaliongea sana siku ile. Hii ni baada ya mbabe wa siasa za kibabe kuchomoa rout.
Mbabe wa ccm kafa wafanye nini!
 
Mpaka wewe?
 
Kuna vifo vina faida.
 
Ili hayo yote yakamilike lazima walioonewa wapate haki yao!

Ndugu zao kina Ben Saanane lazima wafahamu juu ya ndugu zao walienda wapi !

Waliobomolewa nyumba zao, waliocheleweshewa mafao hata wakafariki bila kupata haki yao, waliofukuzwa kazi bila taratibu za kisheria mnawapaje haki zao!

Mwisho tu niseme CCM ni ile ile siwaamini hata chembe
 
Legacy is compromised

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…