CCM yatoa Baraka zote kwa DP World kufanya uwekezaji wa Bandari

Mimi naona kamati kuu imejaza wateule wa Mwarabu wa Oman na wabunge waliohongwa na Dp world.
 
 

Attachments

  • IMG_1115.MP4
    8.2 MB
Ohh kumbe upo kwenye crusade mi nikajua mijadala ya kawaida. Kwaheri mama
 
Ilani ya CCM ya mwaka 2020–2025, ibara ya 59, ukurasa wa 92 inasema bandari zote zitauzwa???
 
Mwenyekiti wa ccm ni nani ?
 
Yaani serikali ya CCM imetoa maagizo kwa serikali yake 😂.

Mwenyekiti wa chama (Rais) katoa maagizo kwa Rais wa serikali yake 😂, yaani aliyesaini mkataba anatoa maagizo kwa aliyesaini mkataba daaa, 😂 live longer to wonder the worlds!.
 
Taarifa Kwa Umma Juu ya Vikao Vya Chama Ngazi ya Taifa Vilivyoketi Mapema Leo Tarehe 09-Julai-2023 Chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe DKt. Samia Suluhu Hassan, Vikao Hivyo Vimefanyika Katika Ofisi za CCM Makao Makuu Dodoma

ChamaNiVikao
 

Attachments

  • 20230709_213343.jpg
    108.4 KB · Views: 2
Tz kuna futuhi nyingi
 
Jibu hoja ,msingi wa hovyo kwako ni upi? Weka metrics hapa harafu useme unalinganisha na nani?

Sawa Mimi kada na wewe Pinga Pinga Kwa hiyo una shida zako binafsi kichwani.
Mkuu ccm haiondoki madarakani mpaka rasilimali zote ziishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…