CCM yatoa Baraka zote kwa DP World kufanya uwekezaji wa Bandari

Naona muongo Mkuu PM na Spika wao wa mchongo walikuwa seat za mbele kabisa!
 
Mene mene tekeli na pelesi...!
 
Nyie ni wajinga tu hoja zenu ni zile zile, mukiulizwa huo mkataba wa kupewa bandari zote uko wapi mna kenua tu meno, chuki mbaya sana ndo inao wasumbua.
Kabisa mkuu chuki ni kitu kibaya sana ila Mungu atawaumbua wanafiki hapahapa na watajionea wabaki na aibu.
 
leo kamati kuu ya ccm kwa pamoja imea!ua mkataba wa bandari na Dp world utekekezwe na wamesema wananchi wazidi kupewa elimu nacho jiuliza wasomi wengi wa nchi wapo ndani ya ccm ndio wameona kwamba wengine hakuna wanachokijuwa kuhusu mkataba wa bandari ? Ni kweli mapungufu yote yaliyoonekana kwenye mkataba hayarekebishwi bali ni kwa manufaa kwa nchi ! mbona hatari sana hii.


Ccm mnajiamini nini kuhusu huu mkataba ! hiyo elimu mnayotoa wengine nchi hii hawana uelewa na mkataba huo bali nyie tu ccm ndoo mnaelewa vizuri mkataba huo.
 
Na kumbukumbu itunzwe siku zijazo vitu vitaeleweka kipi halali kipi haramu.

Huu ni ugali kwa watu walio makini wenye njaa wanahitaji kushiba haraka.
 
How do they go?,they are everywhere...jeshi,Tume ya Taifa ,a Uchaguzi....
 
The situation is getting worse, tatizo hatuna sheria ambazo ni strict kwa ajili ya kuwaadhibu wanao ingia mikataba isiyo na faida kwa nchi zaidi ya maslahi yao binafsi, tutapiga kelele ila haya mambo hayawezi kuisha kama hakuna adhabu kali ikiwemo vifungo vya maisha na ufilisi
 
Hii namba 4 na 7 unatoa wapi? Kwanini nyie watu mnapenda kuongopa na kupanikisha watu? Hivi hata kama viongozi wetu wawe mbumbumbu, ndio wakodishe Bandari kwa faida sifuri?
 
Nyie watoto wadogo na wasoma elimu vyeti hamtaelewa faida zake ila one day mtajua kuwa mlikuwa hamjui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…