Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Chama cha Mapinduzi CCM,chama kiongozi Barani Afrika,chama kilichobeba matumaini ya watanzania,chama kinachoaminika ,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania kimempongeza Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Kimetoa na kumpatia pongezi Rais wetu Mpendwa kwa kupewa tuzo na Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutambua mchango wake katika ujenzi wa Taifa letu. Hususani maendeleo makubwa yaliyopatikana na kufikiwa ndani ya muda mfupi wa uongozi wake. Ambayo kwa kiasi kikubwa yamegusa maisha ya watanzania n kuleta matokeo chanya kwa watu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.