Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Mbona wewe Hujatekwa.Watanzania waliotekwa na kupotea wako wapi? Mtasema tu mwaka huu
Mbona wewe hujapotea.Hayo ndio mnayaweza watu wanapotea mpo kimya!
Yaani ununue chakula kwa pesa yako ukifika nyumbani ujipe pongezi?
Bunch of idiots
View attachment 3352724
Waunge na ipi .Mod hizi nyuzi za huyu mwamba mziunge tu pamoja
Mkuu kuweni na utu huu upumbavu hatuutaki, Mimi ni mwanaccm mwenzako ila kwa vitendo hivi hapana kwa kweli.Mbona wewe Hujatekwa.
Kwani CCM ndio inateka watu?Mkuu kuweni na utu huu upumbavu hatuutaki, Mimi ni mwanaccm mwenzako ila kwa vitendo hivi hapana kwa kweli.
Kwahiyo hadi nipotee mimi ndio uamini kuna matukio ya watu kupotea?Mbona wewe hujapotea.
Hujui? Homera ni mwanaccm aliyemteka mdude na yule dogo aliyechoma picha ya Rais.Kwani CCM ndio inateka watu?
Na zote unazo post ziwe moja. Na kwenye list ya gwajima upoWaunge na ipi .