Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusijidanganye. CCM know what they are talking about.
Itakuwa vigumu kwa wabunge wa Chadema kufanya kazi bungeni iwapo chama chao hakiitambui serikali inayotawala.
Cha ajabu ni kwamba walishaapa kuilinda katiba ambayo ndiyo iliyomweka Rais wasiyemtambua madarakani.
Motion inayopelekwa na CCM itapita na wabunge watafukuzwa bungeni. Take my word.
Mnaojiita wasomi, weledi, bla bla ... hamlioni hilo?
Liko wazi hata kwa sisi wa kawaida.
kilichofanyika jana ni kwa manufaa ya Chadema si wananchi walio watuma. Loud and clear
Sio kama alivyosema bali wewe ni kihiyoNashukuru kwa kanuni, zitanisaidia kuondoa ukihiyo kama ulivyosema.
Kwani hao CHADEMA wameikosea CCM?
Huyo Chuligati anahusika nini na mambo ya wabunge, au yeye ni kibaraka wa Makinda?
Naona Chiligati afunge domo lake haraka, mambo hayo hayamuhusu!!!!:embarrassed:
Taarifa ya Tbc ya sa2 usiku mjumbe wa Nec,chiligati amesema Chadema wakiendelea ivo wabunge wa ccm wataagizwa kuwafukuza bungeni wabunge wa chadema. Pia kaongeza kusema kuwa wamevunja katiba,ila ajafafanua wamevunja katiba ya nchi gani maana mpaka sasa napekua katiba sijaona kipengele kilichovunjwa. Kwa iyo inapaswa kuwepo katiba mpya itakayokuwa na kipengele cha kuwabana wabunge kumheshimu rais wakati anahutubia bunge. Kuwepo kwa katiba mpya chadema itakuwa imepata dai lake la kwanza. Pili kapt.Chiligati amesema Rais ni sehemu ya Bunge kwa iyo chadema kutoka bungeni imekimbia ofisi yake ya kazi. Ila katiba ninayoijua mimi ya Jamhuri wa muungano wa tz inasema taasisi ya rais itakuwa mhimili mmoja na mihimili 2 ni Bunge na Mahakama. Hapa kuna kitu pia kinaitwa "seperation of power" na "checks and balance" je kweli chiligati ni mbumbumbu wa kuchanganua au ni udikteta au ni utukutu au hakuyaona madarasa ya shule. Great thinkers,bila kujali itikadi zetu za kisiasa,ebu tuelezane ukweli hapa maana sisi ni wasomi na weledi. Nawasilisha.
Nasikia Chadema nao wanampango wa kuwafukuza wabunge wa CCM kwa kuzomea bungeni wamevunja kifungu cha kumi cha katiba ya Chadema hii ndiyo TZ bwana ukisikia nyingine ni ya uongo ndio maana kina RA hawataki kuondoka.
Kama mambo ni rahisi hivyo basi CCM wawafukuze Chadema. Hivi ndugu yangu umeshawahi kuisoma list ya watu wanaitwa martyrs? CCM wakifanya hivyo watashangaa jinsi matokeo ya kitendo hicho yatakavyokuwa. Sometimes kutishiana huwa hakuna mpango. Ni muhimu kufanya unalosema ili watu wajue how serious you are.Tusijidanganye. CCM know what they are talking about.
Itakuwa vigumu kwa wabunge wa Chadema kufanya kazi bungeni iwapo chama chao hakiitambui serikali inayotawala.
Cha ajabu ni kwamba walishaapa kuilinda katiba ambayo ndiyo iliyomweka Rais wasiyemtambua madarakani.
Motion inayopelekwa na CCM itapita na wabunge watafukuzwa bungeni. Take my word.
Mnaojiita wasomi, weledi, bla bla ... hamlioni hilo?
Liko wazi hata kwa sisi wa kawaida.
mtanukuu vingi tu. Mkuwa walokole wanaochukua verse moja na kuwa sera ya dini. To go out means there is no goverment to chadema. Wakienda bungeni ni kufuata posho tu. chadema wanaojua na kutokutaka aibu hiyo hakuwafuata posho namely Ndesa, zitto, shibuda, mdee, lucy etc.
Ile move ilikuwa ni pigo la nguvu kwa JK na CCM yake ndio maana aliduwaa na hakuamini kuwa yamemtokea. Sasa wanahaha, hawajui lakufanya zaidi ya kutoa matamko yanayowaharibia zaidi. Kama ingekuwa ni ktk boxing, ile ingekuwa Uppercut kama zile za Mohamed Ali
Mwanakijiji, hujakosea kabisa, walisema hivyohivyo, wataenda watarudi. Ukweli ni kwamba, CCM ktk mambo ambayo hawakuyategemea ni lile la wajumbe wa CDM kutoka hotuba ya JK. Walipigwa na Butwaa na hata JK mwenyewe. Lile somo la CDM ni somo ambalo watanzania wote jana wamejifunza na hata kudhubutu kufahamu kuwa, kumbe mtanzania ana uhuru wa kutokukubaliana na Rais, kitu ambacho wengi wao walikuwa hawakijui. Kama ni somo la Uraia (Civics) basi CDM wataingia ktk historia ya watanzania.
MY TAKE: CCM naomba wasome alama za nyakati.....ukweli ni kwamba ugumu na ubishi wao ktk kukubaliana na hali halisi, kutatuletea matatizo hapa nchini. Na ikiwa kama watafanya hayo ya kutaka Bunge liwasimamishe wabunge wa CDM, wafahamu kuwa, wanawanyanganya mamillioni ya watanzania haki yako ya kuwakilishwa Bungeni na wala si wale wabunge 56 wa CDM. Na hapo sasa, itabidi watanzania watafute njia muafaka nyingine ya kudai haki zao. Kama NEC ilichakachua kura, wasidhani inawezekana kuchakachua pia wabunge wa CDM pale mjengoni: Naona hali inavyozidi kwenda, waliowengi wanachoshwa na mambo haya ya ukandamizaji, chonde chonde, watu wakipoteza uvumilivu hapatakalika hapa. Na kwanini tufike huko?? Kwa ukweli, kila siku matamko ya hao waheshimiwa, yanaifanya hali ya siasa nchini kuwa tete...., Wenye masikio ya kusikia na wasikie kwani wasidhani watakuwa salama!
Du!Huna akili weweee, CHADEMA wao HAWAMTAMBUI RAIS kutokana na Kuingia madarakani Kwa wizi!!! Hawajasema hawawatambui wabunge!! Ujue unatakiwa kuwa na akili, ufikilie ndo upost kitu, SIO KUPOST TUUUU uonekane.
Kama HUNA HOJA, ni bora kukaa kimya utaheshimika kuliko kuwa kama Makamba....
Na kama HAWAMTAMBUI MBUNGE YEYOTE WATAENDA MAHAKAMANI, vipi KUHUSU HUYO KILAZA Mwenzenu MWENYEKITI?
Bunge ni muhimili unaojitegemea na RAISI akiingia ndani SIO SEHEMU YA BUNGE kilaza wewe, bungeni huyo kilaza mwenzenu anawakilishwa na Pinda, kwa hiyo hata kuingia kwake inabidi vifungu fulani vitenguliwe na mwanasheria mkuu ili aingie kwa kuwasilisha hoja Kilaza wewe.
Na kwa taarifa yako siku za usoni watatoka hata wabunge wa CCM, shukulu tu jana alikuwa bado hajatangaza Baraza la mawaziri ndo maana unaona Wabunge wa CCM walijifanya wanyenyekevu wakisubili kuteuliwa, subili wakishaona hawana chao ndo utajua, MTAGEUKANA WENYEWE
CCM mkubwa we!!!!
Endelea kuungana na wanaoisapoti Chaka Chua Matokeo. Ni haki yako hapa JF. Acha na wasio kwenye chama chako watoe maoni yao hata kama yanakuumiza.mtatumia maneno yote lakini ukweli utabaki palepale. To the party chadema is right to the public they are wrong. Wananchi wanajua rais yupo. Lakini rais wa Chadema hayupo. Vikao wanahurudhuria vya nini. Wasuse kila kitu mpaka 2015 tutawaelewa kweli hawana serikali. Wabunge wametumwa kuwakilisha wananchi si chama. Tatizo la JF ni kutaka kuona kila mtu anasurpot chadema whis is imposible.
Bunge ni taasisi inayojitegemea nje ya taasisi ya Uraisi.......hivyo hakuna mahali ambapo wabunge wanawajibika kwa Raisi...........hata kiapo chao cha utii ni kwa Katiba na wala siyo kwa Raisi..............tatizo la CCM ni mkusanyiko wa mambumbumbu tu na hii miaka mitano ijayo wajiandae kujifunga kibwebwe....kutakuwa na upinzani dhidi yao ndani na nje ya Bunge........................dhuluma ya CCM kwa mpigakura haiwezi ikavumilika hata kidogoTaarifa ya Tbc ya sa2 usiku mjumbe wa Nec,chiligati amesema Chadema wakiendelea ivo wabunge wa ccm wataagizwa kuwafukuza bungeni wabunge wa chadema. Pia kaongeza kusema kuwa wamevunja katiba,ila ajafafanua wamevunja katiba ya nchi gani maana mpaka sasa napekua katiba sijaona kipengele kilichovunjwa.
Kwani kuchakachua iko ndani ya katiba?? Issue hapa ni kuchakachua kulikomuweka madarakani ndio cha msingi sio serikali. Acha majibu rahisi kwa maswali mazito ndugu yangu.Tusijidanganye. CCM know what they are talking about.
Itakuwa vigumu kwa wabunge wa Chadema kufanya kazi bungeni iwapo chama chao hakiitambui serikali inayotawala.
Cha ajabu ni kwamba walishaapa kuilinda katiba ambayo ndiyo iliyomweka Rais wasiyemtambua madarakani.
Motion inayopelekwa na CCM itapita na wabunge watafukuzwa bungeni. Take my word.
Mnaojiita wasomi, weledi, bla bla ... hamlioni hilo?
Liko wazi hata kwa sisi wa kawaida.