Uchaguzi 2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

Jamaa kamfukuza kiutu uzima eti tutaongea baadaye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akazuga mwishoni kumjibu mzee mbele za watu "hapo umeongea "
 
Ni rais pekee wa kuahidi na akiamua anatekeleza, wengine walipaswa waseme nitajitahidi kushawishi/kipigania au kuisemea jambo fulani watekeleze, mbunge hana fungu labda mfuko wa jimbo ambao mambo makubwa hauwezi!
 
S
Nkushauri kifupi ongeza elimu iwe kwa kujisomea mwenyewe au rudi kusoma uelewa wako uko Chini mno
Kunavitu vinaweza kufanya uitaji elimu kubwa sio uongo kwani hivyo ninavyo visema tunaaidiwa vinafanyika chumbani kwako hadinisivione vikifanyika nitaviona namipianimtumiaji unielewe wewe mwenyeelimu kubwa nibora nikose elimu lakini niwenamacho kuliko kuwanaelimu ukakosa macho
 

Sijui miaka yako lakini naomba nikuelimishe, Miaka hiyo tulikuwa tunakata kwanza kadi ya TANU YOUTH LEAGUE halafu ukikomaa unakata kadi ya uanachama wa TANU na ilipokuja CCM automatically wanachama wote tulifaulishwa na kuingizwa kwenye chama bila mauza uza wala bila kujaza form yoyote
 
Hiyo ilikuwa awamu ya miradi mingi..bado tuna miaka 5 + 10 ya rais mwingine wa ccm.
 
Baada ya uchaguzi, nitakuwa humu kufurahia malalamiko ya Chama fulani.
 
Kilichobadilika ni Jina tu mshamba wa kisukuma usiyejua kiswahili usitusumbue hapa.kwa hiyo tangu hiyo 1961 nchi ilikuwa inaongozwa na wapinzani? Hao kina mkapa walikuwa wapinzani
Ficha ujinga wako
 
Mzee amewaumbua nyinyi matapeli wa kisiasa, kila mwaka mna waahidi hewa tangu uhuru hadi sasa!

Wananchi wamechoshwa na ulaghai wenu na wamesema sasa ni zamu ya kumchagua mh Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utapeli na kutengeneza kiki za miujiza ziko huko kwa kiwanda chenu cha matusii.
Kilasiku kikundi chenu kinaendeshwa na kiki. Sasa tutakua tunawaumbua kila igizo lenuuu.
 
Shida huleta maarifa....hii miaka mitano ya kulimia meno imekuwa Shule tosha kwa kila aliye mtanzania....tusubiri October.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…