Uchaguzi 2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

Uchaguzi 2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

Ni rais pekee wa kuahidi na akiamua anatekeleza, wengine walipaswa waseme nitajitahidi kushawishi/kipigania au kuisemea jambo fulani watekeleze, mbunge hana fungu labda mfuko wa jimbo ambao mambo makubwa hauwezi!
 
S
Nkushauri kifupi ongeza elimu iwe kwa kujisomea mwenyewe au rudi kusoma uelewa wako uko Chini mno
Kunavitu vinaweza kufanya uitaji elimu kubwa sio uongo kwani hivyo ninavyo visema tunaaidiwa vinafanyika chumbani kwako hadinisivione vikifanyika nitaviona namipianimtumiaji unielewe wewe mwenyeelimu kubwa nibora nikose elimu lakini niwenamacho kuliko kuwanaelimu ukakosa macho
 
Chadema huyo anasema ana kadi ya CCM ya mwaka 1962 mwongo miaka hiyo ilikuwepo TANU sio CCM

Chadema ndio lugha hai utasikia CCM ilikuwepo madarakani Saudi ya miaka hamsini wakihesabu kuanzia mwaka 1961 Tanzania ilipopata uhuru wakati CCM ilizaliwa 1977

Huyo mzee fix my Chadema aliyevaa nguo mtumba za CCM

Mtu wenye huyo Chadema hakuna kadi ya CCM ya mwaka 62

Sijui miaka yako lakini naomba nikuelimishe, Miaka hiyo tulikuwa tunakata kwanza kadi ya TANU YOUTH LEAGUE halafu ukikomaa unakata kadi ya uanachama wa TANU na ilipokuja CCM automatically wanachama wote tulifaulishwa na kuingizwa kwenye chama bila mauza uza wala bila kujaza form yoyote
 
Kwa kweli kama si ubabe wa Magufuli ccm ingekuwa haina tumaini lolote kwa sasa na ingepoteza kwa margin ya kutisha watu wamechoka maneno aisee
Imagine mtu anakwambia kajenga sgr wakati hata Morogoro haijafika kikamilifu ndani ya miaka 3 sasa si itafika Mwanza 2035?
Hiyo ilikuwa awamu ya miradi mingi..bado tuna miaka 5 + 10 ya rais mwingine wa ccm.
 
Baada ya uchaguzi, nitakuwa humu kufurahia malalamiko ya Chama fulani.
 
Chadema huyo anasema ana kadi ya CCM ya mwaka 1962 mwongo miaka hiyo ilikuwepo TANU sio CCM

Chadema ndio lugha hai utasikia CCM ilikuwepo madarakani Saudi ya miaka hamsini wakihesabu kuanzia mwaka 1961 Tanzania ilipopata uhuru wakati CCM ilizaliwa 1977

Huyo mzee fix my Chadema aliyevaa nguo mtumba za CCM

Mtu wenye huyo Chadema hakuna kadi ya CCM ya mwaka 62
Kilichobadilika ni Jina tu mshamba wa kisukuma usiyejua kiswahili usitusumbue hapa.kwa hiyo tangu hiyo 1961 nchi ilikuwa inaongozwa na wapinzani? Hao kina mkapa walikuwa wapinzani
Ficha ujinga wako
 
Mzee amewaumbua nyinyi matapeli wa kisiasa, kila mwaka mna waahidi hewa tangu uhuru hadi sasa!

Wananchi wamechoshwa na ulaghai wenu na wamesema sasa ni zamu ya kumchagua mh Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utapeli na kutengeneza kiki za miujiza ziko huko kwa kiwanda chenu cha matusii.
Kilasiku kikundi chenu kinaendeshwa na kiki. Sasa tutakua tunawaumbua kila igizo lenuuu.
 
Ccm sasa hivi ipo icu, tumaini lao lilibakia vijijini tu ambako iliamini kuwa watu bado hawaja elimika vya kutosha kuweza kuhoji haki zao za msingi.

Sasa hivi imekuwa tofauti sana, maana hii elimu yao ya shule za kata ndiyo imekuwa mwiba kwa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida huleta maarifa....hii miaka mitano ya kulimia meno imekuwa Shule tosha kwa kila aliye mtanzania....tusubiri October.
 
Back
Top Bottom