Wana ccm hawata amini macho yao, ila tunawaomba wakubali matokeo wasije kushupaza shingo zaoShida huleta maarifa....hii miaka mitano ya kulimia meno imekuwa Shule tosha kwa kila aliye mtanzania....tusubiri October.
Chadema huyo anasema ana kadi ya CCM ya mwaka 1962 mwongo miaka hiyo ilikuwepo TANU sio CCM
Chadema ndio lugha hai utasikia CCM ilikuwepo madarakani Saudi ya miaka hamsini wakihesabu kuanzia mwaka 1961 Tanzania ilipopata uhuru wakati CCM ilizaliwa 1977
Huyo mzee fix my Chadema aliyevaa nguo mtumba za CCM
Mtu wenye huyo Chadema hakuna kadi ya CCM ya mwaka 62
Hao ndio ccm wanajinadi kuwa wanachama 17m Watakaowapa kura!!!Kwenye kampeini za ubunge kuna mambo na vitimbi huko lumumba.
Huyu hapa niwanachama wa ccm akiiumbua ccm na kuwaambia ukweli.
View attachment 1566839
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ukombozi wa tatu kwenye siasa za mageuzi nchini Tanzania naona elimu ya uraia imeanza kuwaingia wale walio dhaniwa ni wana ccm wa maisha.Hao ndio ccm wanajinadi kuwa wanachama 17m Watakaowapa kura!!!
Watu wameshashtuka ahadi haziliwi "Kalumekenge lazima alazimishwe kwenda shule!"
Kinachoonwa sicho kilichodhaniwa nao!!Huu ni ukombozi wa tatu kwenye siasa za mageuzi nchini Tanzania naona elimu ya uraia imeanza kuwaingia wale walio dhaniwa ni wana ccm wa maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu kawafanya kitu mbaya sanaKinachoonwa sicho kilichodhaniwa nao!!
TANU na CCM si ni hao hao tu kwani kuna chama kingine kilichotawala tangu 1962?Chadema huyo anasema ana kadi ya CCM ya mwaka 1962 mwongo miaka hiyo ilikuwepo TANU sio CCM
Chadema ndio lugha hai utasikia CCM ilikuwepo madarakani Saudi ya miaka hamsini wakihesabu kuanzia mwaka 1961 Tanzania ilipopata uhuru wakati CCM ilizaliwa 1977
Huyo mzee fix my Chadema aliyevaa nguo mtumba za CCM
Mtu wenye huyo Chadema hakuna kadi ya CCM ya mwaka 62
Kwa iyo mulimpa mike mzee mjinga sio au ndio yule alikuwa na afadhali waliobakia ndio mijinga ya kutupwa.Hakuna CCM ya miaka ya 62 wewe hata awe kikongwe huyo mzee mjinga tu huyo
Kuna wajinga vijana na wako wazee wajinga huyo ni mzee mjinga
Kama umesikiliza vizuri huyo si mwana ccm. Anasema alihamia vyama vingine ili akatatue matatizo yake. Anasema amechoka ahadi. Kwa msingi huo hatuwezi kusema ashambulia chama chake Bali anatoa hoja aliyonayo
Yule mzee ndiyo tegemeo lao maccmKwa iyo mulimpa mike mzee mjinga sio au ndio yule alikuwa na afadhali waliobakia ndio mijinga ya kutupwa.
Huna masikio yanayo fanya kaziKama umesikiliza vizuri huyo si mwana ccm. Anasema alihamia vyama vingine ili akatatue matatizo yake. Anasema amechoka ahadi. Kwa msingi huo hatuwezi kusema ashambulia chama chake Bali anatoa hoja aliyonayo
Kwenye kampeini za ubunge kuna mambo na vitimbi huko lumumba.
Huyu hapa niwanachama wa ccm akiiumbua ccm na kuwaambia ukweli.
View attachment 1566839
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wenu ndiyo umetumia sasaConstructive criticism ndio maana CCM inafanikiwa kuongoza mpaka sasa, mleta mada anaweza asilione hili.
Hiii kiki nayo itabuma kama ile ya chopa. Badala ya kusema hamna fedha ya kukodi chopa, mliamua kubadilisha gia angani na kwenda kwa campuni ile yenye chopa mkawambia waandalie rubani kizeee ili azuiliwe, halafu nyie mtengeneze kiki ya kwamba imefanyika hila. Sasa kama hiyo kampuni ya chopa wana rubani asiyekidhi vigezo, kwanini wasingewatafutia rubani mwingine? Au nyie kwa nini hamkuomba mbadilishiwe rubani? Ili muendelee na kazi??
Sent using Jamii Forums mobile app