Hiii kiki nayo itabuma kama ile ya chopa. Badala ya kusema hamna fedha ya kukodi chopa, mliamua kubadilisha gia angani na kwenda kwa campuni ile yenye chopa mkawambia waandalie rubani kizeee ili azuiliwe, halafu nyie mtengeneze kiki ya kwamba imefanyika hila. Sasa kama hiyo kampuni ya chopa wana rubani asiyekidhi vigezo, kwanini wasingewatafutia rubani mwingine? Au nyie kwa nini hamkuomba mbadilishiwe rubani? Ili muendelee na kazi??
Haaa haaaa. Kiki zenu zote zinabumaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakiu ya Uhuru na haki ya kweliKwa sasa hali ya kisiasa ndani ya ccm inazidi kuvurugika kabisa baada ya kugundua kuwa hata lile kundi walilobakia nalo tayari limeelimika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwao so jambo la kushangaza,wengine watakuwa hata tayari kutoa ushahidi was uongo,wake ninaowaita wazalendo wasio halisi.Huyu mzee asije atapewa kesi ya wizi wa mifugo... ha ha ha
CCM hawanaga mshipa wa huruma!!
Yaani alichosema ni kweli, Lakini walivyo sisiem watasema kapandikizwa, mie mwenyewe siku wakipita anga zangu lazima niwaswalike maswali.Mungu atamsimamia tu maana hakuna kosa alilo tenda
Wanawapa nafasi wale wanao ona wanyongeWalivyo wajanja hawawezi kukufuata wewe maana wanajua ni mjanja
Mungu anawaona !Hakika ndiyo maana wamewabatiza majina ya ajabu eti wananchi wanyonge!
Nchi ipi hiyo? Mtapewa uberigiji.Mtaishia hapo hapo na mjiandae kabisa kutuwachia nchi yetu kwa usalama.
Hakuna wakupeleka maigizo kiburi na fedhuli , dhalau na majigambo ikuluWewe ni sawa na chembe moja tu ya kahawa kwenye lori la tani 32, huna madhara wala faida kwa watu 60 million