Uchaguzi 2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

Na wanaomshangilia nao ni chadema?
Ndugu yangu, Hapo unaweza kuta wanamnanga mgombea wao wa ubunge au vyeo vya serikali za mitaa, huna haja ya kutetea sana maana ccm haijafanya vizuri kila sehemu. Ina udhaifu wake kwenye baadhi ya maeneo.
 
Andika kwa mtiririko unaoeleweka We demuπŸ˜‚, Vipi vidole vinatetemeka? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ccm inatakiwa iseme imefanya nini siokila uchaguzi nitafanya nitafanya maji ndiokete yaokubwa kila uchaguzi Mantua mama ndoo kichwani tumechoka naahadi ahadi watoe wapinzani
Mkuu kwa sasa mzee anaelezea alichotekeleza ndo anasema atafanya nini?
 
Wengi wamechoka makato ya wabunge yanavyoshindwa kusaidia kukijenga chama na kusaidia uchaguzi

Viva JPM
Ninyi mnaiba pesa hazina mnakijenga chama chenu. Bora hao chadema ila nao wakiingia Ikulu watajenga tu ofisi bora kuliko zenu.
 
hata Mbowe ni Afisa... so as Mtei the chadema owner...

Mbowe alisitisha maandamano ya UKUTA.
Alimpunguza kasi Mange..

Wabunge na viongozi kibao chadema manyau ya CCM..

Viva Magu
Heil JPM
Huyo ni afisa kipenyo mlimpenyesha CHADEMA. POLE YENU.
 
CCM ni chama outdated ambacho kinafosi kuongoza updated country. Mwaka 2015 kilipata kura walizopata sababu ya Magufuli as Magufuli lakini sio sababu ya chama imara. Yani mentality ya viongozi wa CCM imefika ukomo wa kurun nchi na wananchi sababu wananchi wako mbele zaidi kimawazo kuliko wao.

CCM wanatutangazia sasa tumeingia uchumi wa kati wakati hatuooni huo uchumi uko wapi. Au uchumi ni mabarabara na madaraja na maviwanja ya ndege? Tunatangaziwa tuko uchumi wa kati lakini hapohapo tunaambiwa hakuna pesa za kuongeza mishahara! Huo uchumi uko wapi? Hizi propaganda za mwaka 1970 haziwezi kufanya kazi kwenye kizazi cha mwaka 2020.

Maisha ya binadamu hayajawahi kwenda kinyumenyume. Always huwa yanaenda mbele katika nyanja zote. Unaweza ukadanganya kwa muda mchache lakini huwezi danganya muda wote. Hata wale wazee wasiojua kusoma na kuandika wanasema CCM imeshindwa kufikia mafanikio waliyotegemea. Tangu enzi za chama kimoja mpaka sasa imeshapita miaka 28 tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi, ni CCM imekuwa madarakani lakini maisha yao yamebaki vilevile. Wanapiga marktime tuu.

Uchaguzi huu CCM wana hali mbaya. Kuanzia chama mpaka mgombea wao hawauziki. Mgombea ndio kabisaa hakubaliki kuanzia ndani ya chama mpaka nje ya chama. Furaha ya maisha ya binadamu haijawahi letwa na vitu. Kwa miaka 5 wamejikita kwenye maendeleo ya vitu tuu, wakasahau vitu havina uhai bali watu ndio wenye uhai, watu wana limited lifespan ila vitu vina infinity lifespan.

CCM wao wenyewe wanaifahamu hii fact kwamba hawauziki. Ndio maana kila apitapo mgombea wao basi shughuli nyingi zinasimama na raia wanasombwa kwenda kuongeza idadi ya wahudhuriaji ili ionekane wamejaza uwanja.

Sisi raia wa nchii tunawaambia hamna chama chenye hakimiliki ya uongozi wa nchi. Wekeni mazingira sawa kwa vyama vyote kisha mtuachie sisi tuchague tunachotaka. Kama mnavyotuambia tujiajiri, basi nanyi kubalini kushindwa ili mrudi mtaani kujiajiri kama sera yenu ilivyo.

Wakati ni ukuta, ukishindana nao utaumia mwenyewe.



Your browser is not able to display this video.
 
La Kuvunda Halina Ubani
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚
 
Sasa shida iko wapi Kama CCM haiuziki? Nyie endeleeni kuiuza hiyo Chadema inayouzika mkishamaliza kuiuza hesabu October mtatuambia mmeuza Bei gani na CCM itakuwa haijauzika itabaki kwa Wana CCM na Chadema kwa mabeberu akina Amsterdam &Co.
 
CCM inakubarika sana tena zaidi ya sana,zilizopo upande wa pili ni kelele ambazo hazina msingi wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…