Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #61
Naona unataka kutaga sasaMagu 2020 to +infinity
[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unataka kutaga sasaMagu 2020 to +infinity
[emoji3][emoji3]
Hao kwa sasa wamevurugwa vya kutosha hasa baada ya ujio wa lissu.Ajabu huwezi kuwasikia wakiitamka Tanganyika, hawa watu sijui wamerogwa na mwenge au uchawi gani yarabi.
Mbona una hasira zijibu hoja za huyo mzee vinginevyo utakuwa mjinga zaidiHakuna CCM ya miaka ya 62 wewe hata awe kikongwe huyo mzee mjinga tu huyo
Kuna wajinga vijana na wako wazee wajinga huyo ni mzee mjinga
Kukubali tu hiyo 2% inaonesha hali ni tete maana mnasema wapenzi wa ccm wameongezeka sa sa kama wanapungua ni kheriAsilimia 2% ya wananchi wameichoka CCM
The rest tuko imara...
Viva Magu
Heil JPM
Anajisahaulisha kwa makusudi ili kutaka ku mdis mzee aliye watoa nishai janaHivi wewe YEHODAYA ukibatizwa Leo kuitwa Ndugai basi YEHODAYA anakuwa amekufa?
TANU ndio CCM
Hilo ni jinga tu kama alivyo jinga lao na Kipara kipyaMbona una hasira zijibu hoja za huyo mzee vinginevyo utakuwa mjinga zaidi
Haikusaidii kitu kuondoa hii clip ya mzee wa kijijini kabisa kuamua kuikataa ccm.
Kaamua kufanya hivyo hadharani tena mbele ya viongozi wenu, na ujue huyo ni mwakilishi wa wana vijiji wengi sana.
Ccm huu ndiyo mwisho wenu maana ngome yenu tayari imeingia sumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukubali tu hiyo 2% inaonesha hali ni tete maana mnasema wapenzi wa ccm wameongezeka sa sa kama wanapungua ni kheri
Maji ya shingoKukubali tu hiyo 2% inaonesha hali ni tete maana mnasema wapenzi wa ccm wameongezeka sa sa kama wanapungua ni kheri
Safari yao kwenda kuungana na kina Kanu na Upc tayari imeanzaKama hadi hilo rika limeanza kuelimika maana yake ndio mwisho wa hicho chama.Kamwe huwezi kushindana na wakati.
Hakuna CCM ya mwaka 1962Mbona una hasira zijibu hoja za huyo mzee vinginevyo utakuwa mjinga zaidi
Huyu ndio wakushughulikia, hana uzalendoDuhhh jamaa kamsema Magu wazi wazi no money mtaani
Naona unajibu matusi utanzania wamatusi haupo ninacho amanisha Mimi nikwamba jimbo lilelile uwe uchaguzi mdogo au mkuu ahadi ni tunamtua mama ndoo kichwani Mara elimu noNenda mikutanoni ya CCM ukasikilize au ingine YouTube
CCM inaanza kwanza kueleza kwenye miaka mitano iliyopita imefanya nini halafu ndio inaeleza mitano ijayo itafanya nini
Unajua wewe uko dunia yako unayoijua mwenyewe
Hivi husikii CCM inaposema tumejenga shule,barabara,reli,vituo vya afya,mashule nk?
Unaumwa au? Ulichoandika ujinga mtupu.Maskini hivi wewe in a hata kaelimu kadogo tu? Kajiendeleze walau nakuonea huruma ujinga usio hai mkubwa mob.Utapata tabu maisha
Hiyo ni kinyume chake yaani 98% wameichoka ccm na iliyo bakia hiyo 2% ni wale wanao faidika na uwepo wa ccm madarakani.Asilimia 2% ya wananchi wameichoka CCM
The rest tuko imara...
Viva Magu
Heil JPM
Hutumii akili, wewe ni mweupe sana kichwaniHakuna CCM ya mwaka 1962
Nkushauri kifupi ongeza elimu iwe kwa kujisomea mwenyewe au rudi kusoma uelewa wako uko Chini mnoNaona unajibu matusi utanzania wamatusi haupo ninacho amanisha Mimi nikwamba jimbo lilelile uwe uchaguzi mdogo au mkuu ahadi ni tunamtua mama ndoo kichwani Mara elimu no
Sasa ndugu unanishauri niende mikitanoni au mtandaoni nikaendelee kuangalia ahadi? Nilitegemea utaniambia kwa mudatoka tumepata uhuru nihistoria nakuona povu linakutoka natamani sana ahadi wazitoe wapinzani ccm waeleze wamefanya nini wasiende kwenye ahadi kabisa
Hiyo ni kinyume chake yaani 98% wameichoka ccm na iliyo bakia hiyo 2% ni wale wanao faidika na uwepo wa ccm madarakani.
Sent using Jamii Forums mobile app