ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Na nyie ibenj mpige na udalali Juu badala ya povuWezi wa kura na madalali wa rasilimali za nchi kazini
Acha povu kachukue hela Kwa kibaraka wenu Lisu Amsterdam katoaMnagawa rasilimali za nchi halafu mnazawadiwa mabati kisha mnashangilia zinawatosha kweli?
Baada ya muda yanapigwa bei chee, na kubadilishw asajili, viongozi wanafungua kampuni za mabasi au wanaongeza mabasi kwenye kampuni zaoMaandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.
CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.
View: https://www.instagram.com/reel/DEEVNJIIaKq/?igsh=MXZiOHN6MXdpc2tqdQ==
Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.
CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.
View: https://www.instagram.com/reel/DEEVNJIIaKq/?igsh=MXZiOHN6MXdpc2tqdQ==
Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?
Akili matope.Hapo lazima nikamate Usukani wa Moja.kwa hakika watakao kuwa wanapanda lile ninaloendesha mimi watakuwa muda wote wanabubujikwa na machozi ya furaha kwa raha watakazokuwa wanapata ndani ya gari. Mziki kwa mbali ,mwendo safi.
Chama cha majambaziWezi wakubwa
Wenye Mali Wakiamua Kuna shida gani?Baada ya muda yanapigwa bei chee, na kubadilishw asajili, viongozi wanafungua kampuni za mabasi au wanaongeza mabasi kwenye kampuni zao
Hii nchi wazalendo ni wa kuhesabu
🚮🚮Tumeuza uhai tunazawadiwa wafu
Mfano wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mchonga meno bado unaishi.. Ni ule mfano wa kugawa madini ya thamani ya Almasi na kubadilishana na kipande cha chupa na kujiona mjanja sana Post isiwe ndefu sana Tunagawa maliasili zetu kwa wageni kwa bei ya kutupa Tunagawa bandari...www.jamiiforums.com
Acha wivu nyumbu,una kipi Cha kuibiwa wewe?Wezi wakubwa
Mzee wa nyota kalumanzila Mwamba tuvushe 😀Wezi wa kura na madalali wa rasilimali za nchi kazini
Na sisi hayo mabasi tutayafanyia nini baada ya hapo?Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.
Swali.
Wale wengine akitoka mwamba ambae Huwa anawakodia helikopta watatumia nini?
Waulize wenye chamaNa sisi hayo mabasi tutayafanyia nini baada ya hapo?
Vyote hivyo vinahusikaje na Mali binafsi za ccm?Barabara mbovu,dawa hospital hakuna,ajira hakuna!
Saa100 anachezea fedha za nchi sana!
Kwa laana za wanyonge na maskini, hizo basi zitakuwa machinjio ya viongozi wa sisiem!